Recent content by Mzalendo

  1. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

    ungeniambia zao la ming'oko kidogo ningejua labda aliyekutuma angalau aliyemtuma kukutumia wewe labda amepata usingizi angalua wa lisaa limoja tangu hili jina la mbobezi Membe kutajwa lakini kwakuwa umekuja bila kuchanganya na za kwako karibu upokee vidonge kama ma lumpen wenzako hili upate usingizi
  2. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Membe: Hakuna mtanzania aliyefariki kwa vurugu za Afrika Kusini

    Wakuu, MEMBE kasema yakwake kwa vigezo vyake nasie ambao tunaushaidi mbadala wakufhibitika tujenao swala la kujaza maserver kisa atushuguliza za kufanya zimepitwa na wakati
  3. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Jakaya Kikwete

    Leo tunaomba tukuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, tunaomba tukupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka Baba while you are away...
  4. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Kikwete yuko Vietnam

    Russia umempeleka wewe?
  5. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Membe ni mende. Membe ni foreigner (mgeni ndani ya nchi yake) membe rudisha pesa za marehemu gadda u

    Mzee inaonyesha huku salimiwa au?
  6. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

    Kumleta kutokea wapi?
  7. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania JK awasili Malabo, Guinea ya Ikweta

    Ameondoka au kawasili?
  8. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsababisha Membe kuzigeuka nchi nyingine kuhusiana na Nile Treaty?

    Hili la ubinadamu vema kabisa,Tanzania sio kisiwa na ndio diplomasia ya juu, maanake ukienda kwa wenzetu wa misri ,huu mto utazania kuna almasi ndani au ndio uzima unapatikana hapo,hapa Mhe Membe naona kajitofautisha sana na na wanasiasa wenzake ndani na nje ya nchi,maanake wengine kwakutaka...
  9. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Friends of Hon. Membe wawajibu Rai...

    Kuna watu bado hawajapata mgao wa weekend,sasa bila kuweka password MEMBE, Uwezi draw kwa ATM sintashangaa mstari ukiendelea kuongezeka,wenzenu wanaongozwa na uoga na kukoseshwa usingizi na huyu MEMBE,hila tupeane michongo yakupost kwa malipo,natanguliza shukrani zangu za dhati
  10. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Membe amdhalilisha rais,aomba fedha na magari uarabuni kwaajili ya mbio za urais

    Hapo umenena vilivyo
  11. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

    Ndugu, Umenena vilivyo, ninaombi moja tu kwa mods yani post kama hizi hususan hii ni yakipumbavu inastaili mtu apewe kifungo kwa maslai ya taifa maanake hawa ndio wanaleta hisia za hasira mtu ukatamka la moyoni ukapigwa ban bure,asante
  12. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

    Liko wazi kabisa huyu kaona kuna mtu ameshika mchanga anaelekea kwenye kitumbua chake
  13. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

    Sijaona tatizo na nia hiyo,wafanyakazi wengi wageni kwa sasa ni economic migrants na sio experts kama unavyojaribu kuhadharisha.angalia angola na mozambique .lazima tu centralise na hizo kazi zitangzwe nchini kwanza.huwezi niambia security manager,facilities manager na hr manager wa kampuni...
  14. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha wa Bernard Membe

    umesikika na una stahili kupuuzika
  15. Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

    huku mnabika jungu, wakati huyu mzee membe anaendelea kuliletea taifa heshima ebu bofya hapo chini ujionee mwenyewe Statement by Commonwealth Ministerial Action Group | The Commonwealth hatari kweli kweli
Back
Top Bottom