Habarini ya jioni, na shkamoni wakubwa na wazeee wangu wooote, mimi kijana wenu na kijana mwenzenu nimekuwa na huzuni kubwa na kuumia moyo sana pale linapo kuja swala la watu kuikosoa serikali! yaap kuikosoa ndiyo ila sio katika mtazamo mlioupata hapoooo. Kuikosoa serikali ni jambo jema na...
Kichwa kinamantiki , lakini hujaelezea kwa undani ni nini hasa ambacho kimenenwa na waziri huyo! hadi kupelekea wabunge haokumjia juu, hivyo hujatuhabarisha bali kutujazia maswaaaali. fAFANUA
Nisahihi wachukuliwe hatua.Ukweli ni kwamba watu wengi hupenda kufanya mambo kwa mihemko tu pasi na kushirikisha bongo zao! Rais ni wa Tanzania nzima ndio maana, huenda katika hafla,mashindano ya waislam, Makanisa ya kikristo bila kujali dhehebu, hii huonesha namna Rais anavyo jaribu kuondoa...

" Kwamaana hiyo unapenda jinsi chuki za kikabila zinavyoenezwa juu ya chama??? nini dhamira yako kama jambo halikujitokeza katika matamko ya wabunge hao?? means kama usingalisema tusingali fikiri juu ya hayo. LISEMWALO LIPO.
Unapokuwa kiongozi moja ya sifa muhimu kuwa nayo ni kuwa na uwezo wa kusimama peke yako na kutetea misimamo, mawazo na maono yako pale unapopingwa juu ya misimamo hiyo na maamuzi.. Sitilii shaka kwa muheshimiwa magufuli juu ya sifa hiyo..apige kazi wapo wanaomulewa kwani sio kila muda ni...
naungana nawe! lakini pia kwa mujibu wa mleta mada, kaongelea hali ya wananchi katika kipindi cha hayati baba wataifa na kwa nilivyoelewa ni kwamba hali ya uzalendo ilikua ipo juu ukilinganisha na sasa! swali fikirishi ni je? huo uzalendo upo wapi kwa sasa na nikwanini ipo ivo? mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.