Recent content by Mzaleee

  1. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana usije ukakutana tena uso kwa uso na watu uliosoma nao secondary

    Wanangu wa Sjut Faculty ya BG class 2018 kama mpo nawaomba chemba hasa kama Binti mfangavo upo nicheki.
  2. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Wekundu wa Msimbazi Point Zenu 3 Hizi Hapa FIFA Dhidi Ya Utopolo

    Huyu kichaa eti nae Bado anavuta oxygen.what a waste.
  3. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

    Nilidhani ni kwangu tu ila wanawake hajali afya kabisa ni mmoja mmoja anauliza kondomu.
  4. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Chuma kiaje?
  5. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Natafuta "Konki" wa Idara hii

    Sawa kabisa,mm shida yangu ni kubwa na mgumu kdg.
  6. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Natafuta "Konki" wa Idara hii

    Mganga ni kabila gani?
  7. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Natafuta "Konki" wa Idara hii

    Sawa mkuu lakn kuwa specifically kirando kwa mtaalamu yupi sasa?
  8. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Natafuta "Konki" wa Idara hii

    Katika Hawa wote ni yupi anaweza kunipa dawa ya kutoonekana.
  9. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Ni kweli wakurywa ni wajinga sana lakn ndo hivo fursa zipo wazi sana pale hii.
  10. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Hii seita Iko tanga wilaya gani?
  11. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Mnachimba mtoni kwa kuvuta Maji na kutoa vein ya chini baadae mnaosha au?
  12. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Kama unataka utajiri njoo na huo mtaji mkoani mara wilaya ya tarime kata ya Nyamongo ufungue nafaka hasa Michele na maharage.
  13. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Story za uchawi ni fiction story (stori za kubuni ) na zipo sana kwa ajili ya jamii ya watu wajinga tu

    Huyu jamaa Ana vitabu vingi labda utaje kitabu specifically Cha kupata elimu ya uchawi
  14. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Project partner au mwajiri karibu

    Njoo pm ila awe tiari kuja tarime mara.
  15. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

    Malawi sehemu gani?
Back
Top Bottom