Recent content by mzado

  1. mzado

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja Mabwepande

    Hakina changamoto yoyote..?
  2. mzado

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawinga wanaouza simu (smartphones na simu vitochi originals)

    Salama chief, mimi sio winga lakini nitakuja kununua simu kwako. Na save namba.
  3. mzado

    JamiiForums Tanzania KERO Trafiki mnaoweka kijiwe Kiluvya, Kibamba, Mbezi na maeneo hayo mnalitia aibu Jeshi la Polisi

    Hao trafiki wa Pwani ni moto sana, nakumbuka siku moja nipo na brother tunatoka mwanza kwenda Dsm, the whole jounery hatujapigwa mkono na tulikua makini lakini baada ya kuvuka Moro kuingia Pwani tulishimamishwa kama mara 4 na kote ilikua wanapiga maokoto ( kifupi zaidi ya mara tatu walikua...
  4. mzado

    JamiiForums Tanzania MODERATOR USIFUTE HII TAFADHALI: NAPANGISHA FRAME YANGU YA KARIAKOO

    Habari ndugu, itapendeza zaidi ukielezea ukubwa wa frame, bei, malipo ya muda gani, ikiwezekana ambatanisha na picha.
  5. mzado

    JamiiForums Tanzania Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris

    Salam wadau, Binafsi kwa namna moja au nyingine nimekua nikifuatilia updates kuelekea mashindano ya olympics huko Paris-Ufarasa. Kwa kuanzia nimeona namna ambavyo team mbalimbali kutoka nchi tofauti tofauti zimeandaa vazi maalum kwaajili ya mashindano haya ambapo nchi za Haiti na Mongolia...
  6. mzado

    JamiiForums Tanzania Gari la umeme (EV) la iCar® V23 itauzwa $16,000/= tu

    Serikali ya Mama inabidi iangalie upande wa EV na kuchukua hatua stahi pamoja na kutengeneza mazingira rafiki kwa walaji kuhamia upande wa umeme lakini nachelea kusema kuwa.....
  7. mzado

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    "Unakitu utafika mbali"
  8. mzado

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyabiashara wenzangu, mliwezaje kudeal na mpinzani wako ambaye kakuzidi kila kitu!

    Habari chief, Nikirejea uzi wako hapo juu inaonesha unahitaji misingi ya game na elimu ya biashara angalau kutoka kwa mfanyabiashara mzoefu awe mentor ili kukupa experiance ya game. Binafsi nitachangia kidogo kulingana na uelewa wangu naamini itasaidiapo haha. Umeandika kuwa umewahi kufanya...
  9. mzado

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwekee kero za mtaani kwako zinazokufanya uichukie CCM na usiipe kura chaguzi zinazokuja

    Natamani kuandika kitu lakini sitaki kuwa keyboard warrior, Pamoja na mazuri kiasi yanayoonekana lakini naamini nchi bado inaendeshwa kwa proaganda za miaka ya 80. Vijana tukiamka tukawa taifa la leo tukatoka na kufanya maamuzi kuikumbusha hii serikali kuwa si ya chama x bali ni yawanchi...
  10. mzado

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

    Kongole kwa mtoa uzi, kunajambo kubwa nimejifunza. Mungu akipenda kufikia 2025 nitakua nimevuta EV moja for experiance.
  11. mzado

    JamiiForums Tanzania Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?

    Habari mkuu sana Paschal Mayala, binafsi nimesoma nikijitahidi kuelewa nakama ulivyotanabaisha hapo awali kwamba makala zako zina swali, maelezo na jibu tutatoa sisi ndugu wasomaji, pia nikishukuru kwa elimu ya awali kwamba kuna nchi za wenzetu wanahizo tozo za Redio. Binafsi kwa hali iliyopo...
  12. mzado

    JamiiForums Tanzania Nini asili ya neno bodaboda?

    Swali zuri, Kama nakumbuka vizuri niliwahi kusikia kwenye kipindi fulani cha DW TV, kuwa asili ya neno bodaboda ni nchini Uganda ambapo pikipiki zilikua zinatumika zaidi kusafirisha abiria kupeleka maeneo ya mipakani (border) au kuwahamisha toka mpaka moja kwenda mwingine ( border to border)...
  13. mzado

    JamiiForums Tanzania Kifo ni somo kubwa kwetu sisi tulio hai

    R I P Mzee Mwinyi, Mwendo umeumaliza.
  14. mzado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujikuta unatokea kupenda watu wawili wakati mmoja?

    Kupenda wawili kwa wakati mmoja unashangaa chief ?, watu wanapenda kijiji kwa wakati mmoja, unakua kama simaku imewekwa kwenye vumbi la chuma.
  15. mzado

    JamiiForums Tanzania TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

    Hilinalo likatazamwe vizuri.. (In no 1 voice)
Back
Top Bottom