Recent content by Mzabwa

  1. M

    Stories of Change 2025 ni Systemic Change|Structural overhaul||Necessary Transformation before general election.

    Sijui km hilo jahazi halijatuacha la kufanya hayo mabadiliko.
  2. M

    GE2025 Luhaga Mpina apitishwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT kwa 92.3%

    Mh Slow slow alisema"ukiona wanagombana usifikiri ni kwel wote ni wamoja huo ndio utaratibu wao"
  3. M

    What are benefits of drinking beer?

    Weka ref ya utafiti uliofanywa pasi na shaka yoyote ya faida za bia ulizozionyesha hapo juu,nafikiri hilo la tumia akili yako ndio la maana kuwa ni mtego Wa za kuambiwa changanya na za kwako.
  4. M

    IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

    Inshu Sio kukopa Tanzania toka ilipoanza kukopa Mpka Leo ingekuwa mbali Sana Kuna Wakati unaona haina tofauti na kutokukopa tatzo uadilifu wa viongozi wetu Wa kiafrika wanaumaskini mkubwa Sana Wa kifrika hata ukope utajikuta ndokwanza unaharibu Zaidi Maisha ya watu,rai yangu ni tujikite zaidi...
  5. M

    Kama hii ni kweli, nchi inahitaji maombi kuliko wakati wowote ule

    Kwani alikuwepo kipindi internet inagunduliwa. Sent from my CPH2477 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

    Cut out sugar and carbs,hayo machapati Na wali tupia kule pia ucpende Kula ucku chakula Kizito ikiwezekana Kula tu matunda esp:watermelon .Halafu punguza frequence YA ulaji weka interval ya 8hrs baada ya mlo mmoja jitahd chai kunywa Saa nne asubuh,lengo Ni kucheza Na insulin maana inaleta shida...
  7. M

    Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

    Na dawa yake ni Metronidazole Sent from my CPH2477 using JamiiForums mobile app
  8. M

    Jinsi ya kujenga Familia imara Karne ya 21

    Uzi zako hazijawahi kumuangusha mtu kiongozi kongore Sana.
  9. M

    Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

    Unajua vita hii ni kati ya mama hakimi na mkewe haitaisha salama ingekuwa kati ya mume na mke ingekuwa imeshaisha na ndomana inafurahisha wanawake wanapambana wenyewe. Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  10. M

    Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

    Walichoongeza ni miaka ya kuridisha mkopo toka 7 hadi 9
  11. M

    Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

    CRDB broo ni wasanii tu walikuwa na ile kampeni yao ya mkopo riba 13% ndgu jana nimeenda wamebadilika wanasema 16% eti imebadilika tar 6 mwezi hawa watu ni wajanjajanja tu.
  12. M

    Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

    Vipi kuhusu mikopo riba zao zikoje Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  13. M

    Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hii mpya yaan hata science ya uzazi inakataa hyo takwimu yako kiongozi. Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom