Recent content by mysimu

  1. mysimu

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naombeni ushauri, mke wangu alienda kwao kujifungua ila saiv ni mwezi wa tatu tokea ajifungue nahadi saivi hajarudi kwangu na ninahisi wazaz wake ndio wanamkataza asirudi, je nifanyeje?
  2. mysimu

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    JE UMTATUPUNGUZIA BEI YA DECODER ZA MADISHI KIPINDI CHA KOMBE LA DUNIA?
  3. mysimu

    MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

    Goooooooooooooooo simba inampiga mwarabu![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  4. mysimu

    Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

    Nahitaji lain ya ttcl nitaipata wapi hapa dar? Niko pugu
  5. mysimu

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi ni mkazi wa CHANIKA dar, naomba ushauri ni nunue kisimbuzi kipi ambacho kinaendana na mazingira haya ya chanika kati ya hicho cha dishi na hicho kisicho na dishi? Naomba ushauri wenu kwanza!
  6. mysimu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ok naomba kujua pia units za luku zinazotakiwa ziwe za kawaida kwa matumizi ya kawaida, zinatakiwa zianzie units ngapi na zisizidi ngapi na bei ya kila units kwa mtu huyo TANESCO inatuuziaje?
  7. mysimu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO NAOMBA KUJUA JE MIMI NILIYEKO MJINI NA NATAMANI TARIFF YANGU IPUNGUZWE ICE SAWA NA WALE WA R.E.A , JE UWEZEKANO HUO UPO AU HAUPO? NA KAMA HAUPO KWANINI?
  8. mysimu

    DAR: Polisi yapiga marufuku mazoezi ya kukimbia 'Jogging' barabarani bila kupata vibali

    Uko sawa ndugu ila wasiofikiri kwa mbali wanaona kama wanaonewa, licha ya foleni ila hata kwa issue ya usalama wao wanapokua jogging inatakiwa kusimamiwa kwa ukaribu na vyombo vya usalama. Tatizo uelewa na ubishi ndio unatukabili!
  9. mysimu

    DAR: Polisi yapiga marufuku mazoezi ya kukimbia 'Jogging' barabarani bila kupata vibali

    Uko sawa ndugu ika wasifikiri kwa mbali wanaona kama wanaonewa, licha ya foleni ila hata kwa issue ya usalama wao wanapokua jogging inatakiwa kusimamiwa kwa ukaribu na vyombo vya usalama. Tatizo uelewa na ubishi ndio unatukabili!
  10. mysimu

    DAR: Polisi yapiga marufuku mazoezi ya kukimbia 'Jogging' barabarani bila kupata vibali

    Anaefikiri kwa umakini na ukioanisha na hio picha ya jogging hapo utagundua kua kuna ulazma wa kupata kibali ili muweze kupatiwa kibali cha kupita barabara husika bika kusababusha foleni na msongamano wa vyombo vya usafiri na pia kwa usalama wenu ikiwezekana polisi au vyombo vya usalama kwa...
  11. mysimu

    NAUZA TECNO C9

    Eka picha
  12. mysimu

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko sengerema natakubadili na wamkoa wa Morogoro au kilimanjaro wilaya ya mwanga!
  13. mysimu

    Mwanafunzi mwingine Dar auawa kinyama!

    Mleta uzi kalamba ugoro kabla ya kuleta huu uzi. Huwezichanganya haya matukio nawili kwa uzi mmoja maana kila tukio limetokea katika mazingira yanayotofautiana. Acha kujenga hoja za kuichonganisha jamii na serikali.!!!
  14. mysimu

    USAFIRI HUU UKO SOKONI

    Pikipiki hii iko vizuri na imara kwa masafa ya mbali. Wenzangu WANAPOLO wanaifahamu vuzuri. Karibuni sana Bei million 3na laki 8.
Back
Top Bottom