Habari naomba kufahamu tatizo pale umefanya kujaza fomu ya maombi unashika hatua mwisho ile tuma unabonyeza kitufe cha tuma inakaa km dakika 2 huoni chochote unajiuliza labda network unarudia tena unajibiwa nenda kwa email yako uliosajilia uweze kupata username na password kule unaenda hupati...
Mfano China inatumia lugha yake kwenye elimu za juu na maofisini hata kwenye usaili wanatumia lugha yao tofauti na sisi Tanzania kiswahili kwenye usaili(interview) ukiongea kiswahili badala english huna kazi.
Nini maoni yako?
Huu Uzi bhn km mimi mama mmoja nlimsaidia kumpokea mzigo alkuwa ametoka safari ile nmemsaidia hadi home kwake kanikaribisha vzuri mara kijana niwashie tv nmekaa naye sebuleni tunapiga stori mama si akaita mwanae binti ndo akaja sebuleni mara utambulisho kwa binti na binti Yake pisi kaliii toka...
Je ulishawahi kuteleza kwa bahati mbaya na dada wa kazi/ kaka wa kazi nyumbani na mapenzi yakawa moto sana na mwisho wa siku ikawaje.
Kuna dada wa kazi alinipenda mara akiniona akimbie mara ajifiche kuna siku nilimuuliza ndo ukiniona uwa unakimbia mara ujifiche funguka basi.dada akajibu 'basi...
Kuwa na four ya 26 huna akili au tuache kuishi kwa kukaririr kuwa division 1,2,3 n madaraja tu na pia unaweza kuwa uwezo mdogo nje ya box kuna kipindi akili inaweza kuamka ukafanya makubwa wapo walikata four ya 26 sijui 30 na hawakukata tamaa na wa degree au masters na chuoni wamefanya vizuri tu...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.