Search results

  1. M

    Sensa unajisajili.? Lakini kwenye email huoni kitu

    Habari naomba kufahamu tatizo pale umefanya kujaza fomu ya maombi unashika hatua mwisho ile tuma unabonyeza kitufe cha tuma inakaa km dakika 2 huoni chochote unajiuliza labda network unarudia tena unajibiwa nenda kwa email yako uliosajilia uweze kupata username na password kule unaenda hupati...
  2. M

    Kwanini lugha ya kiswahili haipewi kipaumbele kama lugha ya Taifa?

    Mfano China inatumia lugha yake kwenye elimu za juu na maofisini hata kwenye usaili wanatumia lugha yao tofauti na sisi Tanzania kiswahili kwenye usaili(interview) ukiongea kiswahili badala english huna kazi. Nini maoni yako?
  3. M

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Vocha bado n changamotoo yaan madukani hamna
  4. M

    Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2021/22

    Leicester toa weka Liverpool Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  5. M

    Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Upo sahihi makampuni yetu kitaliii wanatumia maagent huko nje kuleta wataliiii Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  6. M

    Dada wa kazi/kaka wa kazi nyumbani

    Asubuhi na mapema anafanya usafi chumba chako umelala
  7. M

    Ni namna gani ulivyoweza kukutana na mke, mpenzi au mwenzi wako? Njoo tupeane uzoefu

    Huu Uzi bhn km mimi mama mmoja nlimsaidia kumpokea mzigo alkuwa ametoka safari ile nmemsaidia hadi home kwake kanikaribisha vzuri mara kijana niwashie tv nmekaa naye sebuleni tunapiga stori mama si akaita mwanae binti ndo akaja sebuleni mara utambulisho kwa binti na binti Yake pisi kaliii toka...
  8. M

    Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

    Mkorea alijifungulia wapi Tz au s.korea Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  9. M

    Dada wa kazi/kaka wa kazi nyumbani

    Je ulishawahi kuteleza kwa bahati mbaya na dada wa kazi/ kaka wa kazi nyumbani na mapenzi yakawa moto sana na mwisho wa siku ikawaje. Kuna dada wa kazi alinipenda mara akiniona akimbie mara ajifiche kuna siku nilimuuliza ndo ukiniona uwa unakimbia mara ujifiche funguka basi.dada akajibu 'basi...
  10. M

    Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

    Kunguru ni ndege Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  11. M

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuwa na four ya 26 huna akili au tuache kuishi kwa kukaririr kuwa division 1,2,3 n madaraja tu na pia unaweza kuwa uwezo mdogo nje ya box kuna kipindi akili inaweza kuamka ukafanya makubwa wapo walikata four ya 26 sijui 30 na hawakukata tamaa na wa degree au masters na chuoni wamefanya vizuri tu...
  12. M

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuwa na four ya 26 huna akili au tuache kuishi kwa kukaririr kuwa division 1,2,3 n madaraja tu na pia unaweza kuwa uwezo mdogo nje ya box kuna kipindi akili inaweza kuamka ukafanya makubwa wapo walikata four ya 26 sijui 30 na hawakukata tamaa na wa degree au masters na chuoni wamefanya vizuri tu...
  13. M

    Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

    Mi naweza kusema kuna mazingira tu yanafanya tucheat tu.
  14. M

    Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

    Wengi wetu tunatamani kutulia na mwenzio yaan wa peke yako katika mahusiano/mapenzi. Ni kitu gani kinakufanya uchepuke au kucheat? Tupia sababu
  15. M

    Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Ukweli lazima uchome [emoji23]mtu ukiwa mbeya mwenzaķo yupo dar mahusiano yqnavunjika etiiii
  16. M

    Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Sema hujapata kukusahaulisha yaliyopita pia moyo wako tatizo ulijipa asilimia 100% na wakati huyo hakukupa asilimia 100 unatakiwa uwe mbali naye pia ufute namba zake iwe watsap etc upoteze kumbukumbu kabisa ya kumfikiria
  17. M

    Je, unahitaji Laptop kwa Bei nafuu?

    We hujui tulipo na ofisi hujui jina ndo maana unaweka lawama hata ofisini hujawahi fika
  18. M

    Msaada kuhusu hp spectre 360x laptop

    Chukua hyo 2gb nvidia card hyo kali imesimama
  19. M

    Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
Back
Top Bottom