Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

Je kwanini tunacheat au kuchepuka?

Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anasema bila mkongo cjui puturu hawezi kupiga show ya uhakika .

Alikuwa na manzi mmoja tu.Nikwambia jaribu safe cheating pasipo any booster anakuja kunambia after month kuwa kumbe anaweza kupiga show vizuri tu Tena ya uhakika kwa huyo mchepuko.

Sijui ilikuwaje na huyo mchepuko.
 
Kuna mtu huko juu karopoka aisee nimecheka sana na kamalilizia na kizungu kabisa (no research no rights to speak)
Ficha ujinga ndugu
Screenshot_20210909-092800.png
kama ujui kitu ni bora ukaomba uleweshwe kuliko kutaka kubishana kwa usilo lijua
 
Back
Top Bottom