Recent content by My eye

  1. My eye

    JamiiForums Tanzania UKAWA mkishagomea/zomea hotuba ya Rais mkumbuke kuchukua vitabu vya hotuba yake

    Watanzania kuweni wavumilivu, hii ni nchi yetu sote ingawa ina wenyewe. Tubakini kama tela la gari tu.
  2. My eye

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye anahitaji udhibiti wa kichama wa haraka, atatudhalilisha!

    Mzee Tupatupa, hilolimesomeka kazi kwao wazee wa sisiemu wamkanye Mmakonde yule la sivyo zitapigwa ngumi bungeni
  3. My eye

    JamiiForums Tanzania Zoezi la abunge kuapishwa laendelea, Je kesi za kupinga matokeo ya ubunge zina maana?

    Hapo ni mauzauza tu.
  4. My eye

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais azua balaa CCM

    Hakuna vurugu yoyote ndg. Kama Upo ushahidi wa vurugu thibitisha la sivyo unachochea watu wafanye vurugu.
  5. My eye

    JamiiForums Tanzania Arusha nisaidieni kumpata huyu tapeli

    @ Ringo nimetuma hizo namba zifanyiwe kazi.
  6. My eye

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Niliuliza kuna jina moja sijaliona Tekla Ungele au kuna chaguo la pili la wabunge wa viti maalum?
  7. My eye

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Inategemea idadi ya wabunge chaguliwa ni wangapi asilimia yake ndio mgao wenu.
  8. My eye

    JamiiForums Tanzania Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    Hata ya mboga haitoshi, kama yule wa cha mboga yupo na amerudia Bungeni, mmmmmh jamani sio vizuri.
  9. My eye

    JamiiForums Tanzania Arusha nisaidieni kumpata huyu tapeli

    @ Ringo Edmund nipigie 0715772518
  10. My eye

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Jamani naomba msaada, kuna bibi yangu Anaitwa Tekla Ungele alishinda viti maalumu ccm nashangaa jina lake silioni ni mkoa wa Lindi. Naomba ufafanuzi tafadhali
  11. My eye

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani Tanzania wenye uchawi wa kutisha na mkubwa zaidi?

    Hatufanyi mambo mpaka tuingize uchawi, tutabaki nyuma hadi Yesu aje tena
Back
Top Bottom