Recent content by MWONA MBALI

  1. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    NINACHO KISOMA KWENYE ANDIKO HILI NI MATAMANIO TU YA KIBINADAMU KWA MUANDISHI WA MAKALA HII, NA MUANDISHI BADO HAJAAMUA KUKUBALI UKWELI KUA ALIETABIRIWA ALIMUANGUSHA SANA. MUANDISHI ANA ENDELEA KUOTA HAHAHAAA. SITAKI KUSEMA SABABU NI ILE TAFSIRI YA AWAMU YA TANO YA NENO ''mayalla''
  2. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kama namuona professor Assad huko aliko,,,,,,,,,!!!!!!!!!
  3. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Professor Assad, sigda yake sio ya bure.
  4. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    HIVI BIG 5 SIMBA HAYUMO? YUPO NYUMBU!!!
  5. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    Umenena vema
  6. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

    Nadhani hoja ya ushoga na kusheherekea birthday ni vitu viwili tofauti, isije ikawa kila anaeshiriki party za birthday ikatafsirika ni shoga.
  7. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

    duuu wewe ni mtabir au?
  8. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muondoe DAS wa Arusha

    Kama huyo ni mama mzazi, umemkosea sana, haikupaswa hata kuwe kuna usuluhishi, muheshimu mama ndugu, umebahatika kuwa nae.
  9. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    kuna kajiharufu ka wivu hivi hapa.
  10. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Kodi kwenye mafuta na ongezeko la tozo kwenye muda wa maongezi ya simu yatatuumiza
  11. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole akabidhi ofisi kwa Shaka

    MBONA KAMA WAMETENGENEZA TANGAZO LA BIASHARA LA HILO BOX HAPO
  12. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

    muhimu tumeona matokeo ya kura, tumuache mzee Jakaya, yeye akitaka lake hatasubir ruhusa ya Mangula , ila mama atampa nafasi. Hizo ni hisia potofu tu
  13. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

    Bahati mbaya na wewe umekosea , umejikuta kwenye dhambi ilele ya ukabila. nasikitika. Sisi ni watanzania.
  14. MWONA MBALI

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu akutana na kufanya mazungumzo na Spika Job Ndugai

    Ile kauli ya Mama kuwa mijadala ya bunge haina afya kwa taifa, sikumuona spika akipiga makofi, nadhani atakua ameomba kuonana na mheshimiwa Rais kumuomba asiliongelee hilo atakapokua bungeni kesho, maana wabunge wapo huru kusema chochote bungeni hata sheria haziwabani. Na pia bunge ni mhimili...
Back
Top Bottom