Huo ni unafiki wako na kiherehere chako cha kushindwa kutunza mambo yako.
Tuache ujinga jamani humu ndani hivi kuna yeyote amewahi kuckia kama kuna njia za kutunia kutunza Sirius? Hii ni tabia ya mtu japo si yako tu hata ya wenzako huwa unayafanya vivyo hivyo.
Huo ni unafiki wako na kiherehere chako cha kushindwa kutunza mambo yako.
Tuache ujinga jamani humu ndani hivi kuna yeyote amewahi kuckia kama kuna njia za kutunia kutunza Sirius? Hii ni tabia ya mtu japo c si yako tu hata wenzako huwa unayafanya vivyo hivyo.
Mipango yote inasimamiwa na serikali halafu wanajikanyaga kanyaga wenyewe pasina sababu za kueleweka.
Acha watafune tu...maana tumechoka na watafune tu
Nilitegemea kuona hizo hoja ukizionyesha ili umshawishi mtu aunge mkono hoja yako.
Ila isiwe shida ndo watanzania kulalama na kutoa hoja za pumba. Uraia wa nchi mbili sio chanzo cha kupotea usalama na uzalendo.
Namuunga mkono hapa..."nguvu ya wachache haionekani nje ya bunge kwa kujifanya kama pressure group bali ndani ya bunge"
Kumshinda adui si kwa kukimbilia vichakani ila kwa kuingia kwa umakini ktk uwanja wa vita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.