Recent content by MWL RAMADHANI ATHUMANI

  1. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    PreGE2025 Rais Samia: Bila CCM imara Tanzania itayumba

    Tena ccm inayoshulika na wabadhirifu wa fedha za umma !hiyo ndio yenyewe!!
  2. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    PreGE2025 Nape kuendelea kung'ang'ania madarakani na Rais Samia kuzidi kukaa kimya kunazidi kuiangamiza CCM

    Ameomba radhi kwanini kung'ang'ana!!? Kukosea ni sehem ya maisha ya mja!
  3. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Ni kweli chadema wamwpoteza muelekeo!wameacha ajenda muhimu wanataka ubunge ili wapate ruzuku!! Lakini Msigwa anapaswa aje na fikra mbadala za maendeleo coz kuwananga upinzani hakuleti chakula mezani wala kuongeza ajira kwa graduates!! Aje na fikra mbadala zenye tija kwa taifa!
  4. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    PreGE2025 'Mbowe Must go inalenga kuyumbisha CHADEMA, kuweni Macho wamachama

    Mmeishiwa hoja,mkishindwa msilalamike mmeonewa kama 2020!!
  5. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Kwanini kila kwenye Wanasiasa 10 wa CCM wanaopendekezwa kugombea uRais David Kafulila lazima awemo?

    List haitoki Bure,mlengwa atakua anaandaliwa kukalia kiti kubwa;! Tutapata Rais kijana sana mchapakazi! Mungu amlinde!! Nccr ni chaka la wanaoaminiwa na wenye mamlaka!!Mrema,Hayati jpm na sasa kafulila,hata mzee wasira alikimbilia kule MAJI yalipochemka ndani ya chama!!! Sishangai kafulila...
  6. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    PreGE2025 'Mbowe Must go inalenga kuyumbisha CHADEMA, kuweni Macho wamachama

    Kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya,kumeiondolea heshima chadema kama chama cha siasa na kuwa wachumia tumbo!!! Ni wa kuwapuuza hao!!
  7. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Ukianza kumuonea huruma je lazima utamla tu!!
  8. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

    Kwamba! Mapacha watatu ni nyenzo inayotumika kutawala wenye akili finyu SI ndio!!?
  9. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Bapa limepita na mzee wa upako

    Maisha Yana Siri sana mkuu! Tangu Mchungaji Kipilimba ateuliwe kuwa DG nimeacha kabisa kuhukumu kazi za watu!
  10. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

    Askari wamewakamata huku wanameza mate coz sio kwa mizigo hiyo!!! Mazingira ya kimasikhara hayo!
  11. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

    Ni vizuri ukaandika na Yale aliyofanikiwa pia ku balance hisia:- 1.uhuru wa kujieleza umerudi! 2.Demokrasia ya vyama vya siasa Hadi upinzani wanaandamana hadharani na niliona askari magereza ameshika bango la kulaani kikotoo Hadi Rais akasikia na kulegeza! 3.Watumishi was imma ambao ni sisi...
  12. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Thamani ya shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka. Tunaelekea wapi?

    Vita na majanga ya kidunia pia vinachangia!!Ulimwengu umeendelea kupitia changamoto kubwa za kisiasa na kiasili ambazo zinaathiri uchumi wetu coz na sisi ni sehem ya ulimwengu!!! Yatatulia hivi karibuni!
  13. MWL RAMADHANI ATHUMANI

    Ziara ya watoto wa mjini yamnyamazisha RC mbabe

    Jamaa anachapa kazi nyie!!hivi kusikiliza kero za wanaarusha na kuzifanyia kazi ni kosa!!? Siamini kama ulichoandika ni kweli!
Back
Top Bottom