Recent content by mwl.lukiko

  1. mwl.lukiko

    USD v TSHS as for today

    Unafikiri ikifika huko wewe utapona? Ni jambo baya sana kuliombea mabaya taifa lako.
  2. mwl.lukiko

    Je, Rais Magufuli hajali haki za wananchi?

    Nafikiri mwandishi sio msomi wa sheria, kama ukipata nafasi tafuta hata certificate ya sheria itakusaidia kujua uandike nini juu ya mambo yahusuyo sheria
  3. mwl.lukiko

    Ni nini tafsiri ya Rais Magufuli kuandika barua kwa mkono ya kumpendekeza Waziri Mkuu

    Hivi kumpongeza mtu inachukua gharama gani? Kwa nini sisi watu tunapenda sana kuona watu wanafeli badala ya kufurahi wanapofaulu? Hivi serikali ya Magufuli ikifanikiwa je wewe nawe hutaneemeka katika hilo? na je ikiharibu wewe utapata faida gani? Nafikiri badala ya kukaa na kuponda kila kitu...
  4. mwl.lukiko

    Dr. Magufuli: Genius anayepambania urais

    Fanya utafiti mfupi tuu juu ya wale wanaomuunga mkono lowasa kwa kulinganisha na wale wanaomuunga mkono magufuli. Utagundua kuwa lowasa anaungwa mkono na madereva Bodaboda na walevi na vijana wamachinga wa kariakoo na watu walioshindwa siasa ndani ya ccm. Kwa kifupi anaungwa mkono na watu wasio...
  5. mwl.lukiko

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    Unapong`ang`ania kupewa mahakama unataka tujifunze nini kutoka kwako. Je, unataka tufikir kuwa wewe ni mtenda makosa sana kiasi kwamba unataka ujiwekee mahali pa kuhukumiwa? Je, unataka tufikir kuwa wewe ni mtu usiye na msamaha kiasi kwamba unataka kuwaandalia wenzako mahali pa kuwashtaki? Nini...
  6. mwl.lukiko

    Sheria iwachukulie hatua wahaini wa uperation tokomeza

    haya kabab, ila hata kama yupo mi wamdake tu, vitendo hivi havikubaliki hata awe ndugu yake JK akamatwe tu
  7. mwl.lukiko

    Sheria iwachukulie hatua wahaini wa uperation tokomeza

    thanks corrections noted and made
  8. mwl.lukiko

    Sheria iwachukulie hatua wahaini wa uperation tokomeza

    Definetily naizungumzia Tanzania hapa kwa ajili ya haki za wanyonge walioonewa vibaya kwenye operation hii
  9. mwl.lukiko

    Sheria iwachukulie hatua wahaini wa uperation tokomeza

    wiki iliyopita tulishudia mawairi wanne (4) wa serikali wakijiuzuru nafasi zao kutokana na kile kilichoitwa ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa operation tokomeza. Ni dhati yangu kuwapongeza viongozi hawa waliochukua hatua ya uwajibikaji yaani "Ministerial Responsibilty" kama moja ya...
  10. mwl.lukiko

    Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

    hivi kwenye m4c wakati chama chenu kinahubiri kuhusu mabilion ya uswiz mlikua mnaota. Au na nyie mlikua mnadanganya umma ili mjizolee umaaruf
  11. mwl.lukiko

    Hatimaye CHADEMA kimevuka Kizingiti kingine salama 2013,je yote ni mipango ya Mungu?

    hivi ndivyo mungu anavyofundisha hivyo kwamba adui yako mwombee njaa? kama mmeweza kuvuka mshukuruni Mungu msonge mbele kubishana na mjinga we unakuwa mjinga zaidi yake. Msipende kumwingiza Mungu kwenye mambo haya kumbukeni maandiko: usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako"
  12. mwl.lukiko

    Je Afrika iko tayari kujitoa ICC?

    Leo ni siku yangu ya tatu hapa nchini Kenya, ni asubuhi tulivu kabisa, jua likiwa limechomoza taratibu na kwa uzuri kama mielezi ya lebanoni, hakika tunauona uzuri wa Bwana. Napita huku na kule hapa KABARAK UNIVERSITY katika shughuli zangu zilizonileta hapa, lakini pia nikijaribu kwa makini sana...
  13. mwl.lukiko

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Unajua mahakamani hatutafuti nani anaweza kuzungumza sana, ila tunatafuta nani anaweza kuthibitisha anachokisema. sasa kama unajua kuwa mahakamani zitto atashinda si bora unyamaze kuliko kupiga kelele amabzo zitaishia humu jukwaani tu. tunataka hoja zenye nguvu sio kwamba tunamtetea zito. humu...
  14. mwl.lukiko

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Sidhani kama hiyo ni hasara, na suala la mshahara kutofika 1,148,000 halina mantiki. Msomi mzuri kama Zitto sidhani kama anaweza kutegemea tu mshahara ili aishi. Lazima ufikiri mbali ya upeo wako. anza upya hii umekosea
Back
Top Bottom