Recent content by mwitahilary

  1. mwitahilary

    Hodi Mwanza

    Kisbo alikuwa zamani, sasa hivi ni allys kuanzia speed, comfortability, customer care. .Try out ukiwa unarudi dar. Karibu mwanza, ukihitaji machimbo ya dagaa, samaki just PM if in case huna mwenyeji
  2. mwitahilary

    Huyu binti kaniona mimi toy lake la mchezo ila hajanijua vizuri

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. mwitahilary

    Nitumie dawa gani kujitibu U.T.I

    Huna UTI, kafanye vipimo zaidi una STD. .kwa dalili unazozisema za kutoa maji maji UTI haina hizo(ina dalili zake kuu) na Kama umetumia AZUMA na haijakata hata kwa muda mfupi hiyo ni dalili ya STD. .kafanye vipimo tena
  4. mwitahilary

    Vituo vya watu wenye mahitaji maalum vinahitajika Mwanza

    Mkuu, nafikiri ni vema ukaainisha malengo au sababu za uhitaji huo ili iwe rahisi kupata ushirikiano, binafsi nipo mwanza, ninaweza nikatoa ushirikiano lakini angalau mtu ujue unatoa taarifa kwa malengo yapi isije kuwa ni malengo ovu halafu mtu akapata shida! Nasema hili kwa nia njema ya kujenga
  5. mwitahilary

    Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Mkuu weka madini hapa hapa ili Kila mtu apate nondo na kuiona hiyo fursa kwenye mkoa wake alipo! Kuja inbox ni kunyima wengine fursa na kupunguza jam if at all una nia kweli ya kutoa mawazo ya fursa ulizonazo.
  6. mwitahilary

    Je, mjini kati Mwanza, kodi za fremu zinacheza kati ya bei gani?

    Sina hakika, coz inategemeana na frame pia ipoje, lakini naamini itakuwa ina range kwenye 5 - 10mil
  7. mwitahilary

    Je, mjini kati Mwanza, kodi za fremu zinacheza kati ya bei gani?

    Liberty sio rahisi kupata lakini ikitokea si chini ya 10mils +. Kunaendana na makoroboi na dampo, zaidi inategemeana na aina ya frame, ukubwa na eneo hasa ilipo, zipo za chini ya hapo pia.
  8. mwitahilary

    Mji mzito huu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. mwitahilary

    Mji mzito huu

    Baada ya kupitia msg zote mpaka hapa, naweza sema sasa hii inaitwa " ndo utajua hujui" huu mji mzito Sana!!!
  10. mwitahilary

    Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

    Ukifika nenda pale Villa park
  11. mwitahilary

    Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

    Angalia Changamoto iliyopo kwenye jamii inayokuzunguka ifanye kuwa fursa yako, Changamoto ni nyingi, tuliza akili, fanya research utaona, lakini pia unaweza jikita kwenye biashara ya nafaka, japo vyuma vimekaza lakini ni Dhahiri lazima watu wale, kwahiyo kwenye nafaka ni best shot nafikiri. Kama...
  12. mwitahilary

    Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

    Yafuatilie, kayapime, songea ni maarufu sana kwa gemstones, trust me, unaweza kuwa unapishana na hela.
  13. mwitahilary

    Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

    Hii business ina maeneo mengi ya ku engage with, Kwa mtaji wa milioni 5 au chini ya hapo kuwa dealer ni ndogo sana na kuona faida yake ni ngumu hasa ukianza kuangalia muda, usafiri, chakula n.k. Binafsi ninafanya japo sio dealer ila nipo kwenye extraction kabisa.
Back
Top Bottom