Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

Karbu tuinvest katika lending nicheck pm,nina ofisi nina kila kitu ww utainvest dhen tutakubaliana kiasi gan niwe nakulipa kwa kila mwez na baada ya muda flan ntakupa capital yako.
 
Angalia Changamoto iliyopo kwenye jamii inayokuzunguka ifanye kuwa fursa yako, Changamoto ni nyingi, tuliza akili, fanya research utaona, lakini pia unaweza jikita kwenye biashara ya nafaka, japo vyuma vimekaza lakini ni Dhahiri lazima watu wale, kwahiyo kwenye nafaka ni best shot nafikiri. Kama unaweza pia toka nje ya Dar, nenda mikoani Kuna fursa kibao. Dar kiujumla inalishwa na mikoani, hivyo kwenye nafaka zama mikoani nunua nafaka peleka Dar, angalia location nzuri na zaidi ya yote tafuta soko kwanza, masoko ya nafaka nenda kwa wenye mashine za kusaga na wanaofanya packaging wawe wateja wako, wengine ni wafanyabiashara wa jumla au Kama unaweza ukafungua mwenyewe ukauza reja reja. Angalizo angalia biashara ambayo hai-attract sana attention kwani gharama za kodi ya pango, kodi ya serikali, ushuru, leseni, na vinginevyo vimekuwa vikwazo sana Kama sio kumrudisha nyuma mfanyabiashara. Hakuna asiyetaka kulipa kodi isipokuwa a reasonable one na isiyoumiza.
 
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!

Naomba nitafute Kama hutojar 0674010013
 
454..wazo lake binafsi nmelipenda kwa kusisitiza tu utafiti ni muhimu mkuu katika sekta ambayo unajiona ww upo vizuri pia km una profesional fulan unaeza fungua biashara inayoendana na proffesional yako sababu utakua unaijua vizur zaid na utaalam nayo pia ...upande wangu mm nijihusisha na biashara ya mafuta ya alizeti mm nayazalisha yanakenda mikoa mbali mbali yenye uhaba na huwa yanauzika kwa speed sana kwa wale wanaokwenda kuuza kama vile mbeya,njombe,dar n.k
Kwa 10M unaweza kupata dumu za lita 20 kama vile dumu mia endapo utakua umeshaandaa sehem ya kuuzia then waweza uza reja reja i mean unauza kwa madum ya lita 20,lita 10,lita 5 n 3. kwa wale wazoef dumu mia 500 hua wanauza week mbili kwa utakaeanza sijafahamu ina depend pia minmum profit kwa kila dumu la lita ishirin utakalouza haiwez pungua 7000 ina tegemea na msimu.
Upande wa pili 10M unaez fungua mashine ya kukamua na kusfisha mafuta ya alizeti pia ukaiajiri kw kuipa mtaji wa alizeti angalau gunia 100 itakulipa ukipata msimaizi mzuri eneo zuri kwa mashine hizo ni DODOMA
NAWASILISHA VIJIMAWAZO VYANGU.
Thanks
 
Fungua biashara ya kuni hutojutia ...n HV mzgo wa milion moja na lak nane n kuni 3000 ...kuni moja hapa dar n buku ..so utapata milion tatu faida milion lak mbili na kuni hizo n ndg kwenye mzunguko mkubwa ka huku kwetu ukonga .....

Ukiwa interested nichk tubadilishane mawazo ......pia tuna eneo kubwa nakodsha kwa anaetaka kufanya biashara hii ambayo inakua kwa kas kubwa dar na sehemu nyingne .......0685580057
 
Ndugu nakushukuru, wazo lako nimelipenda sana, ni mmoja ya mawazo niliyokuwa nayo sema uzoefu na uthubutu wa kuanza na kuogopa hasara ndio shida.lakini umenifungua kwa kiasi fulani.
 
Asante mkuu, kuni unachukua wapi mkuu na soko lake ni kubwa kiasi gani?
 
Ndugu nakushukuru, wazo lako nimelipenda sana, ni mmoja ya mawazo niliyokuwa nayo sema uzoefu na uthubutu wa kuanza na kuogopa hasara ndio shida.lakini umenifungua kwa kiasi fulani.
Kuna mtu hum alikuwa anauza mashine za alizet(kiwanda) iko ful mpka vibali mpaka brand tafuta huo uzi
 
Fungua biashara ya kuni hutojutia ...n HV mzgo wa milion moja na lak nane n kuni 3000 ...kuni moja hapa dar n buku ..so utapata milion tatu faida milion lak mbili na kuni hizo n ndg kwenye mzunguko mkubwa ka huku kwetu ukonga .....

Ukiwa interested nichk tubadilishane mawazo ......pia tuna eneo kubwa nakodsha kwa anaetaka kufanya biashara hii ambayo inakua kwa kas kubwa dar na sehemu nyingne .......0685580057
Ukipiga hesab ya faida hujapiga hesabu ya wapikaji na washushaji hujapiga hesabu ya vibali hapo jumlisha na kod ya pango plus mshahara wa mfanyakazi ..mlinzi je?? Msipende kudanganya watu kwa hesabu rahis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom