Recent content by MWITA T CHACHA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watanzania waishio Afrika Kusini

    Kuna clip moja nimeiona wanamshangaa dogo mmoja anataka kurudi bongo... Wanamhoji sijui wachawi nini... jamaa wanakula bange balaa.... Wapuuzi sana!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Inatengenezwa Shinyanga Iko kwenye vikopo vidogo ivii.... Kwa kweli inaangamiza vijana hiyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kuhuzunisha sana jinsi 'plants' za madini zinavyohatarisha maisha ya watu

    Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wakemia wanafanya kazi ktk plant si professional pia NEMC hawajui yanayoendelea uko plant kiufupi plant karibu zote za Kanda ya ziwa ni vyanzo vya uchafuzi wa maji.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Hiyo picha sio ya Yesu bana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

    Huyu hana uraibu isipokuwa ana shida na anaamini huenda akapata fedha kwa kujaibu kucheza kamari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Diamond anunua Private Jet

    Kweli kabisa ina muonekano wa kawaida sana.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Brand hizi zinatamba miaka nenda rudi, kuna nini nyuma ya pazia?

    Kwa maji brand iliyoenea Tanzania ni Kilimanjaro...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Inaenea vizuri tu.....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

    pazuri......
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Rais Mobutu kwenda kwa Rais wa Ufaransa Jacques Chirac

    kuna jamaa kashika mwanvuli ashukuru alikuwa nyuma!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Night shift Bulyanhulu, siku niliyotamani kuuaga umasikini

    kuna mmoja yeye alimfuata demu south africa aliporudu north mara mine akakuta kazi imeisha......... huwa wana maamuzi ya ajabu hawa watu sema pesa kweli wanapata wezi balaa....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Barrick kutoa US$10M kwa UDSM pekee

    huyo jamaa sio mpumbavu anauelewa mzuri tu ktk issue za madini so ni lazima atetee ukanda unaosababisha barrick wawepo tanzania
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Barrick kutoa US$10M kwa UDSM pekee

    swali zuri kabisa South Africa huko wameanza kuchimba madini 1800s mpaka leo ndo wanaongoza kuzalisha dhahabu Africa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

    Niko nayo mpaka mwisho.
Back
Top Bottom