Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

Mamlaka Zisipoingilia Kati... Sijui... Fedha za Nchi zinapotela China... Vituo vya Kamari vimeongezeka kila Kona... Uraibu wa Kamari ni Mbaya kuliko Hata Madawa ya Kulevya... Vijana kwa wazee wanapoteza Fedha kwa kiwango kikubwa.... Nani was Kupaza sauti?? Mungu atusaidie Sana ...!!!
Katika kitu ambacho serikali inafanya uzembe ni hii kuwaachia watu binafsi tena kutoka nje kuendesha kamari. Kuna nchi michezo ya kamari na bahati nasibu ni mali ya serikali na inaendeshwa kwa haki na kitaalam na kuifanya kuwa source nzuri ya mapato ya serikali. Fedha zinazopatikana zinaweza kutumika kuongeza bajeti ya elimu, kujenga hospital nk.
 
Man U vs Chelsea (unaona kabisa pale GG lazima)
Eibar vs Barcelona (hapa Barcelona anakufa)
Atalanta vs Juventus (Over 2.5)

unaweka ten unapiga 50 yako fresh

Mniue tu asee,, siachi kubet
Aya,hutak nyingi
 
Kinachoweza kumfanya mtu apotee zaidi kuwa na matarajio makubwa zaidi. Lazima uumie. Unacheza kamari eti upate pesa ya gari, kujengea etc. Hapana aisee tufanyeni kazi.
 
Mimi kwa kweli nikikumbka Both team to score za uingereza ambavyo huwa zinakubali, sifikirii kabisa kuacha betting
Tatizo zinakubi nyingi moja tu inakuaribia unabaki kusema ayaaa, kesho tena unaumia. Mi pia nmecheza kamali lkn kiukweli ji mchezo hatari sna kwa afya ya mwili akili na uchumi wako.
 
Ninabeti huu mwaka wangu wa nne,nimepiga lipu na kupaka rangi nyumba yangu sababu ya beti,navaa vizuri sababu ya beti,nina smartphone sababu ya beti,Wakati naanza beti mke wangu alikuwa ananilaumu Sana lakini siku nilipokuta kitita Cha milioni kadhaa aliniruhusu niendelee kubeti.

Mchezo wa kamari kama beting ni kanuni tu,na ustake kile ambacho utakuwa tayari kukipoteza,kwa wiki huwa natumia shilingi 5000/= kwaajili ya bet ,kwa mwezi ni sh 20,000/= kwangu Mimi kupoteza pesa hiyo sioni shida.

But huwa nacheza jackport tu ya Betpawa ambayo tiketi moja ni sh 100/= nimewahi kupata bonus Mara kadhaa.sasa kwanini niache bet? Bet si ya kila mtu na unapobet usiwe na malengo ya juu (high expectations) kwamba eti lazima ule,utapata presha Bure.

Binafsi kuacha beti ni siku nitaila Ile jackport ya Betpawa ya sh milioni 200
Mkuu tupo pamoja tupo pamoja
 
Na huu uzi wachangiaji watakuwa ni wa wazee wa kubeti au nasema uongo ndugu zangu😂
 
Back
Top Bottom