Recent content by mwiruruma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kabla sijajiingiza kwenye bidhaa za Oriflame

    Hakuna kitu isipokuwa wamejiandaa vzr kutafuta masoko kwa kutumia lugha nzuri,ukweli anaefaidi ni mmoja tu tena kwa usawa huu na hizo bei zao utaishia kusoma namba kama ile ya nambari one
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Mwalimu wa wapi usiyejua ugaidi angalia ile video alipigwa na mwl.mmoja tena walimu ndo majuzi walikuwa JKT semester moja wakaenda PT tumia akili ndg angalia mwingiliano wa mafunzo hayo ujue hekima,busara na uwezo wa kuhimili mihemko uwepo pale mtu hajakosewa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi Tanzania yupo kama kero

    Tukio la juzi mwanafunzi kupigwa wizara karibu zote zimetoa tamko,asasi za kiraia hata ambazo sijawahi kusikia zimeibuka,wageni rasmi kwenye mahafali wamepata kitu cha kusema,lakn tukio la juzi la mtu kutobolewa macho lipo kwa mkuu wa mkoa tu ndo aliyeguswa.Tukio kubwa ni lipi kati ya hayo mara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

    Dah! hiyo kura inatutesa vibaya,najipa moyo vile yangu haipo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuseme kidogo kuhusu wafanyakazi hewa

    Watumishi wana barua za kupanda madaraja toka ter.01/03/2016 hadi leo wanasubiri uhakiki upite ndo wapate hiyo salary yani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makato ya mshahara kwa watumishi wa umma mwezi september

    Dah! unatafuta msaada kwa hilo!? Jamaa ki roho saafiiii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuseme kidogo kuhusu wafanyakazi hewa

    Hivi ni halali mfanyakazi kukosa stahiki yake kwa sababu ya uwepo wa wafanyakazi hewa au ni kisingizio tu,kwa nn anaefanya kazi asilipwe kwa kosa la mtu asiyekuwepo
  8. M

    JamiiForums Tanzania UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Kumbe fumbo!
  9. M

    JamiiForums Tanzania UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Kumbe fumbo! Kumbe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa tete nchini, nyumba zashuka bei

    Hahahahaha safi sana
Back
Top Bottom