Mtumishi Tanzania yupo kama kero

Mtumishi Tanzania yupo kama kero

mwiruruma

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Tukio la juzi mwanafunzi kupigwa wizara karibu zote zimetoa tamko,asasi za kiraia hata ambazo sijawahi kusikia zimeibuka,wageni rasmi kwenye mahafali wamepata kitu cha kusema,lakn tukio la juzi la mtu kutobolewa macho lipo kwa mkuu wa mkoa tu ndo aliyeguswa.Tukio kubwa ni lipi kati ya hayo mara ngapi walimu wamepigwa na wanafunzi hadi kung'olewa meno?

kama ungekuwa ww umekabwa koo na mwanafunzi ungefanyaje? mtoto hata cjapata ya Dr kama kaumia.Kama kungekuwepo ushirikiano mkubwa hivyo na wepesi wa kushughulikia maslahi ya watumishi kama mlivyofanya tusingekuwa tuna barua za kupanda madaraja kwa miezi 8 bila mshahara wake tena hata madai yangeshalipwa mnaibuka na uhakiki wa vyeti usoisha kukwepa kutoa haki za watu!!?

Daaa! acheni walimu walikuwa mafunzo adhabu ya kurudia mafunzo inatosha.
 
Back
Top Bottom