Tuseme kidogo kuhusu wafanyakazi hewa

Tuseme kidogo kuhusu wafanyakazi hewa

mwiruruma

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Hivi ni halali mfanyakazi kukosa stahiki yake kwa sababu ya uwepo wa wafanyakazi hewa au ni kisingizio tu,kwa nn anaefanya kazi asilipwe kwa kosa la mtu asiyekuwepo
 
Mtumishi wa serikali aliyefanyiwa upekuzi hawezi kuweka kwenye mitandao malalamiko kama haya. Badilika na ujifunze namna nzuri ya kutoa malalamiko yako. Vinginevyo itakua- ''Mchuma janga...............''
 
Back
Top Bottom