Recent content by mwinshehe daffodio

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Mkuu hii nalimia Tanga, ila nakushauri ukitaka kulima vizuri anzia hekari 20 kwenda juu, mfano unaweza kuuza majani au nyuzi za katani, ikiwa una shamba na huna machine uta uza majani Kwa kuanzia, heka moja hutoa meta 17-25,meta moja huuzwa elfu 10 Kwa mkonge mchanga(mdogo) hivyo ukiwa na hekari...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Ishu ya ngedere, hua ni usumbufu sana, hata mim nimeona na pia Kuna tembo wanasumbua sana kuja mashambani kula, so nakushauri, kama una weza kuwaua ua tu, lakini usiwatupe watundike ngedere hujifunza Kwa mfano, Kuna jamaa alilima mahindi heka zake za kutosha, ngedere wakaanza usumbufu, ikabidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Miche hua gharama ukinunua, nakushauri uoteshe mwenyewe,kilimo ni hatua, Mimi Nina hekari 150 Kwa Sasa napanda katani, heka moja Ina beba Miche 1200-1600 Miche mmoja huuzwa 150 so Kwa heka hizo ni karibia milioni30 za Miche imebidi nioteshe mwenyewe kitalu Kwa mbegu za kununua kwenye kiroba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Nyani dawa Yao, una waekea ndizi za sumu, au unawalewesha, una wapa vyakula vya chumvi nyingi, na beseni la ulevi wakilewa tu, una kamata una funga juu ya mti na viboko juu Kwa siku 3 mfululizo wata potea hapo😂😂
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida

    Hahahhaha wewe mgomvi
  6. M

    JamiiForums Tanzania The question of the universe's creator remains one of the greatest mysteries, blending science, religion, and philosophy.(According to Deepseek AI )

    Siku utakapo ijua elimu ya roho, ndio utajua chanzo cha Dunia, mbona mtu hufa kiasi ukimuamsha haamki...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kuomba Passport ya kusafiria

    Mimi nime peleka fomu siku moja tu, nimeulizwa maswali,kadhaa 1. Mama anaitwa nani 2.kabila lake 3.shule ya misingi nilio soma 4.shule ya sekondari 5. Chuo, baada ya hapo kila kitu kili kuwepo, ikiwepo affidavit ya mama nili lipia elfu kumi tu kwa mwanasheria usi danganyike,mtu akikuambia Lete...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Typewriter

    ismaili hassan kiongozi nimekuja dm naona kimya naomba tuwasiliane nina shida unisaidie
  9. M

    JamiiForums Tanzania 'Unela': Ichungulie biashara hii

    Umeishiaje
  10. M

    JamiiForums Tanzania Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu katika Vita

    Shujaa mkubwa mno, tulisoma katika moja ya vitabu, alichakaza mapanga 7 kwenye vita moja,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo na biashara ya mkonge/ katani Tanzania

    Kuna mdau ameniambia madalali kwenye soko la mauzo Wana Rudisha nyuma wakulima, wanakuibia Sana kiasi wao ndio Wana tajirika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Shukran mwenye Uzi, Mimi ni mtumishi WA serikali, lakini kiukweli biashara ni Bora kuliko kuajiriwa,tuna tafuta ajira ili tupate udhaminj, huwezi kupata mkopo wa milioni 20-50M ikiwa hujulikani,labda kwenu mume na vitega uchumi vya kuweka bondi ambapo wengi wetu hatuna,pia katika biashara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo na biashara ya mkonge/ katani Tanzania

    Nina ekari Mia this time nina panda mbegu nije nihamishie,vipi kuhusu palizi mnafanyaga nini kurahisisha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo na biashara ya mkonge/ katani Tanzania

    Share link Tu join
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo na biashara ya mkonge/ katani Tanzania

    Karibu Sana, good job
Back
Top Bottom