Nimemuandikia barua mwajiri kuomba ufafanuzi Kama NI haki kubandika picha kwamba yeyote tu anaweza kufanya? Na Kama sio haki nimemtaka mwajiri atoe ruhusa ya kuziondoa izo picha. Barua nimeipitishia kwa katibu chama Cha wafanyakazi wa hapa. Je hapo nimefanya sahihi? Lakn Kama nikiripoti polisi...
Yameisha tumefanya km counseling, lakn kitu kingine NI kwambaa yule KIONGOZI ameiprinti picha ile na kuzibandika Kila ubao wa matangazo. Sasa je hapo sio kosa la uzalilishaji kwa mujibu wa sheria? Je naweza kuchukua hatua gani hapo?
Asante Sana tumemaliza tumefanya km counseling,, lakn yule mzungu aliprint picha akabandika Kila mahali je hapo naweza kuchukua hatua gani? Je sio udhalilishaji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.