Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Natafuta wadau wa kushirikiana nao kuendesha shindano la WATU wenye sura mbaya Tanzania mkoa wa Dar es salaam. Fomu zinapatikana BUREE. Mshindi atapatiwa zawadi, milioni 10 (mfano)
Wadhamini njoeni. Faida za shindano:
1. Tunatambua na kuthamini uwepo wao...
SWADAKTA[emoji106][emoji106][emoji106]
Umesema kweli Robert Heriel
Andiko Zima kasoro matusi machache uliyodokezea nakubaliana naww
Kijana Kama unataka kuoa kubali kuwa na mtizamo wa kizamani ktk mazingira ya kisasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.