Ushuhuda: Nimedhulumiwa na kampuni ya Sunranch

Tungekuwa china tungesema ni wa msosi sasa huku tz wa kazi gani? Halafu nyoka mwenyewe kauziwa mtandaoni bila hata kupewa huyo nyoka. KĆ ma alikuwa na shida ya nyoka si angedownload tu
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu.

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida, bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana.

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake, aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin, na mwingine wa elf thelasin na tano, hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya Sh. 10000 kila siku kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hebu tushawishi jinsi ulivyoshawishiwa kwanza. Hainiingii akilini ununue mbuzi halafu kila siku akupe faida ya elfu kumi. Yaani faida inakujakujaje
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu.

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida, bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana.

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake, aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin, na mwingine wa elf thelasin na tano, hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya Sh. 10000 kila siku kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Master tulia basi mbona unafujo sana unaanza mapema kutuunguza..
 
Mi jamaa walinifata long time kunishawishi wanipe link nijiunge ili tu wapate commission zao, nikiangalia kweli wanapokea mkwanja ila nikikumbuka taasisi flani 2017 Ilikuwa inaitwa helping hand international nilipigwa tisini na mbili elfu na bado tukaitwa kwa RPC kutoa maelezo kibao kuhusu tumeshawishi wangapi, tulijikuta nyomi la kutosha la wajinga, kuja kueleweshwa kumbe ni ma-pyramid schemes. Kusikia tu kuna kuuziwa nyoka mtandaoni nikajiuliza wanakula bando au!!? Leo jamaa amekiri kwa kinywa chake AMEPIGWA
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu.

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida, bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana.

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake, aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin, na mwingine wa elf thelasin na tano, hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya Sh. 10000 kila siku kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakuu mnachelewa wapi kuijua hii michezo ya online Ponzi schemes mbona Wafilipino washalizwa miaka mingi sana na habari zishaenea dunia nzima kwa watu wanaofuatilia?
 
Dada yako anasemaje sasa?

Usilie pesa utairudisha sio kubwa ya kutisha na kukata tamaa.. endelea heshima wala usiulize tena humu..

... Ila unaumia kwa sababu uliuliza humu ukaenda ukijua utatapeliwa.

Kwa kiufupi Dada yako amekupiga wewe.. pole..
Kashawishi wengine wajiunge pia update pesa yako.. ukitaka..
 
Wanabodi, najua wengi mtaniita mjinga au hata mpumbavu, lakini kabla ya kufanya hivyo naomba kwanza msome andiko langu.

Siku 5 zilizopita nilipandisha Uzi hapa jukwaani nikiomba kujulishwa kama ni kweli kampuni hii ya mtandaoni inaitwa sunranch Ina ukweli wowote au ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.,nilifanya hivyo baada ya dada yangu wa damu kabisa ninayemheshimu sana kunishawishi nijiunge na kampuni hii kwa kununua mnyama na kuanza kupiga faida, bila Shaka wote mnajua ukaribu wa mtu na dada yake hasa mkiwa mnaheshimiana.

Dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa waliojiunga na kampuni hii ya kununua wanyama mtandaoni na huenda ni kweli alipata faida na kuamua kunishirikisha kama ndugu yake, aliponiambia na kunishawishi nijiunge niliona kama nikikataa nitamvunjia heshima ,hasa ikizingatiwa ya kwamba naamini dada hawezi kunidanganya Ili nipigwe.

Basi kilichofuatia ni kwamba alifanikiwa kunishawishi nikanunua wanyama wawili, mmoja wa laki Moja na elf thelasin, na mwingine wa elf thelasin na tano, hao wanyama kwa mjibu wa hiyo kampuni ilitakiwa nipate faida ya Sh. 10000 kila siku kwa kipindi cha mwaka mmoja, na Kuna wengine zaidi ya 1200 walinunua nyoka kwa laki sita ijumaa iliyopita wakitumaini kupata million 5 jumatatu hii, lakini kilichotokea mpaka muda huu, naomba mwenye ushuhuda aongezee[emoji24][emoji24][emoji24]
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Dah ama kweli wajinga bado wapo yani uuziwe nyoka kwa laki 6 tena online sasa alie kuuzia yeye ananufaika vipi šŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah ama kweli wajinga bado wapo yani uuziwe nyoka kwa laki 6 tena online sasa alie kuuzia yeye ananufaika vipi [emoji23]
We acha tu, ukiiwaza ile return ya milioni 2 ile kaki sita unaona poa hata huulizi ni brand gani ya nyoka unauziwa kama ni black mamba, cobra, chatu, au anaconda
 
Ni nyoka hewa wa mtandaoni, akitaga mayai yanauzwa bei ghali sana unaanza kupata gawiwo
Kama hakukabidhiwa wanyama physically anasemaje amenunua?šŸ˜€šŸ˜€
 
Huwa Niko makini comred, haya yote yalitokea kwa sababu nilipewa ushuhuda na dada yangu wa damu hambaye tunaheshimiana sana, na dada yangu alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa,unaambiwa hizi kampuni za kitapeli wa mwanzoni ndio Huwa wanafaidi Ili wapate kuwavuta wengine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kitendo tu cha kutotrust your guts na ukashawishiwa kisa tu ni dada , hapo umefeli na hakua makini kaka
 
Back
Top Bottom