Recent content by mwingereza mangi

  1. M

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Cku zote ukwl unauma cjawai kuona kiongoz anaependa kusifiwa tu kukosolewa hata mm navyojua mwanamke ndie hupenda kusifiwa na mwanaume pale anapokua nakitu anakiitaj kumbe mpaka viongoz nawao nikama wanawake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Polisi: Tutampeleka Mahakamani Tundu Lissu tukimaliza upelelezi

    Wanachanganyikiwa ni jinsi gan tundu lissu alivyo kichwa kupitiliza a.k.a jembe sasa wanampima mkojo waanglie ni nini kinamfanya awazid akili serekal nzima inaongoswa na rais mawair dola na kadhalika alafu mtu mmoja anawzd Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Tundu Lissu: Sielewi kwanini Ngeleja hajakamatwa na Polisi

    Mm bado nko njia panda sio haya ya Ngeleja c kwamba kasetiwa ili tuvurugane kwenye vichwa vyetu kwl kma katumwa mm cpo nimetoka atawakuta nyinyi Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  4. M

    Keshokutwa serikali kuanza mazungumzo na Barrick Gold Mine

    Mbona wa Escrow na wao wasifanye mazungumzo nao wanapelekwa mahakaman? kaz ipo. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  5. M

    Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Ww uponjonchiman ulitaka awashauri nn zaid ya alivyo elezea?mikataba mingine haina m'badala walishajichanganya kwaiyo hamn jinsi.ndio maana ameamua kumshauri raisi tusipate hasara zaid
  6. M

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Jaman hata mm naomba wanasheria wa humu watusaidie kwa hili la makonda kuita watu kituo cha police kma ni sahihi.
  7. M

    Kwa mliowahi kwenda scoan au kwa TB Joshua hii ni halali au nimetapeliwa

    Ww ndio mwenye kosa kwan hujui kwamba kumwitaji mwenyez mungu ni bure?na mda wowote?kwa nn utumie garama kbw hvyo kumpata mwenyez mungu?kwa ushsuri mungu hayupo nigeria mungu yupo kila kona ya dunia.huo ni utajiri wako ulikuwasha kutoa hizo hela na watu kma nyinyi mungu anawasubr sana mnae tumia...
  8. M

    Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

    Siamin kwan nimemis sana uhuru wa habar coz kma kwl kiongoz wa nnchi anasema kila cku kwamba yy ni kiongoz wa watanzania walio chin na anatumbua live kwa nn na yy asiweke waz kukosolewa live?
  9. M

    Kumekucha! Kampuni ya Dangote yaweka kila kitu hadharani hivi punde tu!

    Jaman kwl cc watanzania cjui tutaishia wap waziri wa viwanda kaeleza kila kitu ambayee ndie wazir wa viwanda nnchin sasa nikipi mnakitaka tena?huyu aliye post hii na hao wanao msapot jpimen upya huenda mnamapungufu.
  10. M

    Ikulu yakanusha taarifa ya mali za taasisi ya WAMA inayoongozwa na mama Salma Kikwete kupigwa mnada

    Ya dangote tuliambiwa kafunga kwasababu ya garama za uzalishaji amepandishiwa baadae tukaambiwa sio hivyo ni mitambo inarekebishwa baadae ukwl ukasimama na hya kma in uzushi basi ushwindwe kma sio ukwl utasimama hatakama kwa hili lbda kwa lingine
  11. M

    Tetesi za mwisho wa dunia zimeishia wapi?

    Haina cha ushemegi hiyo any time unaeza chapa laps cha msingi jifanyie maandalizi
Back
Top Bottom