Recent content by mwimbule

  1. M

    Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Kwaiyo aendelee na Uenyekiti hadi kufa kwake au?? Watu mnataka mabadiliko lakini nyinyi hamtaki kumbadili Mwenyekiti,,,mbona Mtei mwanzilishi alikaa miaka 5,,Makani pia miaka 5,,,,, Kwanini huyu baada ya miaka 20 ,hamsemi inatosha. Jambo gani ambalo hajafanya miaka 20 atalifanya miaka 5...
  2. M

    Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

    Awe mshauri,,Kama ambavyo wakina Mtei na Makani walifanya,,Wangetaka kuendelea yeye angepata wapi nafasi
  3. M

    Jacquiline Mengi vs the estates of Mengi and Mercy Revision Ruling

    Nafikili kwa Mtazamo binafsi labda.. lakini kisheria, hasa sheria za Urithi kwa Tanzania, Kinachoangaliwa ni Mali alizoacha Marehemu na warithi wa Marehemu basi. Nitatoa mfano. Mkikaa kikao cha Mirathi, cha kwanza mtajadili Mali alizoacha Marehemu na warithi wake. Sasa sifa ya warithi...
  4. M

    S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    Msomi hizi rufaa zako unazozungumzia unazitoa kwenye sheria au taratibu gani za Mahakama ya Rufaani???. Nakushauri kwa sababu wewe ni Mwanasheria nakumbuka nilikuacha Pale Mlimani miaka ile, ya 2000' s si vizuri ukazungumzia jambo au Mambo usiyo na hakika na nayo. Kwa mujibu wa Sheria ya...
  5. M

    Njia 10 za kumtambua mwanamke asiyefaa

    Mwanamke Chapombe anakuwaje Best woman,,,Chapombe kweli awe mwanamke bora na hata ukaona anafaa kulea familia yako kwelia au unatania
  6. M

    Mwenye kujua CV ya Petro E. Mselewa

    Wanamaanisha Serikali ya awamu ya Tano ya Mwendazake
  7. M

    Kaini alipata wapi mke wake?

    Inawezekana lakini mara nyingi watu huwa hawazidi umri wa Mungu ambao ni miaka 120
  8. M

    Kaini alipata wapi mke wake?

    Mungu Mwenyewe alipunguza umri wa mwanadamu, Kutoka hiyo miaka hadi Umri wa Mwisho kuwa miaka 120 Mwanzo 5-3. Bwana akasema ,Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama, basi siku zitakuwa miaka mia na ishirini.
  9. M

    The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    Ndio Maana tunapata matokeo hasi,, Tusirudie tena kosa tulilofanya ndugu,,
  10. M

    The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    Lete Cv ya Majaliwa acha ngonjera. Raisi anaandaliwa. Raisi anatakiwa awe na uwezo mkubwa wa maarifa ya kujifunza shuleni tena kwenye shule bora si ilimradi shule, pia Raisi anatakiwa awe na elimu pana ya kujifunza kwa kuona. Pia Raisi anatakiwa awe na exposure kubwa ya Ulimwengu, siasa zake...
  11. M

    Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    Hii siyo kweli, soma katiba ya Marekani, hata hivyo vita ilikuwa kati ya majimbo ya kusini na ya Kaskazini, Ya Kusini yalikuwa yanategemea Kilimo kwaiyo yalitaka biashara ya Utumwa iendelee, wakati ya Kaskazini yalikuwa yanategemea Viwanda kwaiyo hayakutaka biashara ya Utumwa.
  12. M

    Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    USA kuna majimbo tangu 1776, kabla na baada ya uhuru,,
  13. M

    Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    SERIKALI ZA MAJIMBO NI NINI Rafiki yangu aliniuliza kuhusu mfumo wa utawala/ wa majimbo ni nini? ,Alihoji hili baada ya kusikia sera za CHADEMA, kwamba wataanzisha utawala wa majimbo kupitia mgombea wake wa Uraisi TUNDU A. MUGWAI LISSU. HAYA NI MAJIBU YANGU KWAKE: Mfumo huu wa utawala wa...
  14. M

    David McAllister hajawahi kuipenda Serikali ya Tanzania "Ni vita ya uchumi"

    Jamani huyu Eliasi Ndabila nilifikiri ni Elias Nawera yule aliyekuwa DAS, Hata hivyo, nafikiri Kiongozi wenu ameshawaambia kwamba nyinyi ni Donor country, kwaiyo haina haja ya kulalamika, Hiyo vita unayoisema ni vita kati ya demokrasia na udikteta, haki za binadamu kuheshimiwa na kukataliwa...
  15. M

    GE2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

    Kwani Daraja la Busisi linakwenda UKEREWE AU? nyinyi CCM acheni hoja zisizo msingi
Back
Top Bottom