Recent content by Mwijumbe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari

    Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari: Stand ya daladala Bunju imehamishiwa barabara kuu ya Bagamoyo Manispaa imeshindwa kujenga standi hata ya changarawe. Matokea yake ni ajali na kugongwa kwa wananchi. Kata zote Barabara wananchi wanajichangisha wenyewe kulipia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA Kinondoni ni shida

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  3. M

    JamiiForums Tanzania NIDA ni ufahamu mdogo wa baadhi ya watumishi au Rushwa?

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kashindwaje kutatua tatizo la ombaomba Dar?

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa umekuwa ukifanya jitahada nyingi kuwasaidia watoTO wadogo. Sasa hivi unafanya juhudu kubwa kuwaokoa watoto wenye matatizo ya moyo na najua kwa uwezo wa Mungu wetu mpendwa utafanikiwa. Tafadhali juhudi hiyo hiyo ielekeze kwa watoto wanaokodiwa kuja DSM kuomba na kuwapa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Uchukuzi na Abiria kujisaidia Porini

    Hapo nyuma Serikali ilipiga Marufuku Mabasi na hata Magari binafsi kusimama porini kwa ajili ya abiria kujisaidia. Inaelekea utaratibu huo haupo na serikali haichukui hatua yoyote pamoja na kuwa na sheria nyingi za kutunza mazingira na afya.Natoa mfano wa barabara ya Dodoma Dar ambayo maziri...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na urasimu wa kupata hati ya kusafiria

    Kwa mfano mtu alikuwa na Passpoti na amesafiri mara kadhaa, anaambiwa apeleke ticketi au barua ya safari wakati anabadili pasipoti yake. Passipoti ni haki au msaada?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na urasimu wa kupata hati ya kusafiria

    Wanajamvi zoezi la kubadilisha pasipoti za Tanzania imekuwa ni kero kubwa, kuna maswali ya logic ambayo Uhamiaji wameshindwa kuyaona kama ifuatavyo; 1. Kama mtu ameshabadilisha passpoti yake mara kadhaa na ana kitambulisho cha taifa kuna haja gani ya kumlazimisha kuwa na cheti chakuzaliwa cha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari na Utamaduni na Waziri wa Ujenzi na uchukuzi fanyia kazi hili...

    Tanzania tumejipambanua kuweka kipaumbele maendeleo ya lugha ya Kiswahili na namshukuru Raisi kutilia mkazo Kiswahili popote endapo pamoja na kubezwa na watu wenye fikra za kitumwa. Nimeangalia maelekezo ya Uwanja Mpya wa ndege terminal 3 na hata ule wa zamani Kiswahili kimedhalilishwa sana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha Mtandao wa OTEAS

    Tamisemi Mmetangaza kazi za ualimu ambapo mwisho wa maombi ni Tarehe 15 March 2019 na waombaji ni lazima waombe kupitia mfumo wa internete wakati mnajua fika kwamba: 1) Mfumo wenu ni dhaifu sana haufunguki kabisa 2) Kwa udhaifu wa Mfumo wenu wa internete hivi kijana alioko wilayani anaweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bombardier ni maumivu kwa Mtanzania kiasi hiki!? Bunge lagundua...

    Wabunge walichfanya inaweza kuwa si sawa. Wameweka mtaji kwenye operating capital ndo maana unaona hasara ni kubwa. Lakini kama wangeweka operating capital peke yake ungeona jinsi ATC inavyoendelea vizuri. Sijajua ni kwa nini wameamua kufanya hivyo wakati wanajua Mataji wa kunua ndege ni pesa...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    My brothers Watanzania, Wakenya na wote wa East Africa, Can you please stop this nonsense. Hivi hamuwezi kujadili vitu vya maana kweli, aliyewambia maendeleo ni Majengo nani? au mnataka kuuhakishia ulimwengu kwamba vyuo vyetu vya Africa haviwafundishi watu kutafakari kwa kina. Nchi za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Magufuli amsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Mji wa Babati Ndugu Omari Mkombole

    Raisi atakuwa tayari alikuwa na taarifa zote
  13. M

    JamiiForums Tanzania NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

    Ni vizuri kabla ya akusema kujua utaratibu wa Chadema wa kupata viti maalum. Inawezekana amechaguliwa ndali ya utaratibu uliowekwa. Research muhimu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipojiunga na TANU mwaka wa 1955

    Kama hijawa documented hiyo basinimepotea
Back
Top Bottom