Recent content by MWESONGO RAMADHAN

  1. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Shida sio vodacom, shida ni wateja wao, unajua zile msg za ovyo wanazisomaga! Na ndivyo wanavyowachukulia wateja hivyo hivyo. Utakuwa umenielewa mjingamimi
  2. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo morogoro vijijini
  3. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    10,009= kumi elfu na tisa. 19,000= elfu kumi na tisa
  4. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Kushabikia yanga
  5. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?

    Kwani sh. Ngapi hadi unalia
  6. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya msiba, Halima avunja ukimya

    Kawaida hiyo, sawa na Bernard Morrison kuifunga simba na baadae kusajiliwa simba. Huyo dada kasajiliwa kwa mkopo.
  7. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Navua mwenyewe
  8. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Ya FC Platinum: Hatimaye 'Wananchi' Waonyesha Uzalendo...!!!

    Jamaa kajikaza haoni hata noma, mtamaliza ligi bila ya kufungwa ila kombe watabeba simba. Sijui km ishawahi kutokea. Itakuwa historia ya ulimwengu pia
  9. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Heri ya mwaka mpya vyura wote. Ila leo mmepiga mbizi topeni
  10. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Nataka gari mpya toka showroom.. namba d

    Ipo hapa gari ya hiyo hela ila haina engene, Vioo, siti, usukani, tairi wala chesis ila gari bado mpya kabisa ina site mirrow moja
  11. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Entebbe express way

    Bongo tuna magari ila hatuna barabara , hao wana barabara ila hawana magari
  12. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Mzigo upo?
  13. MWESONGO RAMADHAN

    JamiiForums Tanzania Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

    Tatizo lao lipo pale pale shooting ya bukujero wanatumia tecno kurecord. Ndo maana kila cku atabaki juu chibu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom