Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
sina haja ya kujibizana nawe maana naona unatufuta umaarufu jamii forum ,ila kumbuka mara mia kuwa mjinga maana ukifundishwa utajua kuliko kua mpumbavu asiyeshaurika kama wewe ,iyo elimu sio pekeyako uliye nayo mr omari wengine hatuna hizo timu chuki kama wewe ,sitaki kujaza saver ya admin ,mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.