Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

sina haja ya kujibizana nawe maana naona unatufuta umaarufu jamii forum ,ila kumbuka mara mia kuwa mjinga maana ukifundishwa utajua kuliko kua mpumbavu asiyeshaurika kama wewe ,iyo elimu sio pekeyako uliye nayo mr omari wengine hatuna hizo timu chuki kama wewe ,sitaki kujaza saver ya admin ,mi mjinga sawa lakini wewe ni zaidi yangu mr,
 
Ndo maana nasema humu yamejaa majinga kama ww mwingine nazidi kuyaokota tu hata iyo cochons hujui kuandika

Yaani mnatumia nguvu mpk kutukana kwa ajili ya wehu km unamkubali MPE mkeo hahahahah

Dah raha sana kuitawala mizombi

Siwezi bishana na mtu kama ww,naona kama napoteza mda wangu bure,maana nyie ndo wale kula kulala
 
Kutokubali uwezo wa mwenzako ambao wengi wanauona alafu ww unajifanya kipofu,noma sana,nyie ndo wale kula kulala,unaweza kukuta ata hapo ulipo unakaa kwa Dingi yako na wakati mwenzako yupo kwake

Sasa kama ana kwake Mimi nifanyeje??
 
Back
Top Bottom