Recent content by mwenyenacho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taifa halina maono ya maendeleo zaidi ya nani kaumia na nani kafurahi

    Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo. Kuna watu unaona kabisa alikua akiwaandaa au kuwapa teuz flani ili wafit sehemu flani. Tukija huku unaona kuna safu ya kusifu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

    Kwani unauhakika yuko mbinguni? Mtu akifa anaenda wapi? Azori, Beni saanane nk nao sijui watakuwa wapi. Japo nasikia ukitenda mema utafika mbinguni. Sasa hawa akinasaanane wanaweza kuwa kikwazo kwake uliemtaja. Du! Maisha safafari ndefu. Huojui kesho yako na unataka wapangia wengine kesho yao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

    Kwani Kuna mwanasisiemu asiyekuwa mnafiki? CCM wote ni wanafiki nilijifunza Hilo kupitia janga la Uviko 19 na mengine mengi. Hawana wanachokisimamia kwa misimamo yao, ila ni kufuata upepo tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Pia ikumbukwe kuwa mzee wa msoga alisema " akili za kuambiwa changanya na za kwako"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Mtoa post angezungumza mapema Nini anaamini, maana unaweza ona hayuko upande wowote Kati ya hizo pande mbili anazozungumzia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Naona Kuna mihemko hapa kwa jafo; Chama ambacho watu wake wameshindwa kujaza fomu, mnawalazimisha kuwashirikisha ktk uchaguzi wenu! Je mnauhakika Sasa wataweza kuandika mapingamizi Kama kujaza fomu kuliwashinda? Waliojitoa achana nao, CCM big up sana mmeshinda kwa asilimia 100%. Lakini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaigomea Serikali. Aveva na Nyange waachiwa kwa dhamana

    Kama walikuwa na makosa! Kwa Nini wawafutie makosa kabla ya hukumu?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

    Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Mda wa yeye kukuambia hilo ulipita na hakusema. Alichokutana nacho huko avumilie tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu stephen Munga: Tunapotembea na Yesu katika mateso tuwakumbuke watu ambao wanapita njia ya kuteswa na kuuawa

    Kifungu gani ktk biblia.? Nataka utoe ushahidi wa kifungu alichosema hayo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Pasaka kutoka kwa mhandisi ujenzi mzalendo

    Waraka Wa maaskofu KKT NA TEC unatosha. Hii nyingine ni mihemko na kuchumia tumbo tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mollel aibomoa tena CHADEMA Siha

    Atabaki na mimi. Usipojua kuandika habari za kisiasa kaa kimya. Hapa sio Facebook, tunataka fact na sio ushabiki.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini magazeti ya Uhuru & Daily News hayaandiki habari za ya afya ya Lisu?

    Nadhani yanaogopa kufungiwa. Kwa magazeti tajwa, habari hizo haziwafai.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Angefanyaje ili ionekane hajakosea?
Back
Top Bottom