Mahakama yaigomea Serikali. Aveva na Nyange waachiwa kwa dhamana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu imetupilia mbali maombi yaliyotolewa na upande wa Serikali kupinga kuwaondolea shtaka la Utakatishaji Fedha aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange

Baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutupilia mbali mapingamizi hayo, Mahakama hiyo imewaachia kwa dhamana washtakiwa wote wawili
 
Simba hawa hawa wanaovalishwa khanga?!
 
Usishangae wakikamatwa tena baada ya kuachiliwa, halafu wakabambikizwa kesi nyingine. Maana hii serikali kwa kuvunja sheria na katiba inashika rekodi.

TRAFICK POLICE na DPP wamekua "MAMLAKA YA MAPATO", wanakusanya mapato kama vile ni TRA.

Weka rekodi, Vunja rekodi.
Hawakamatwi tena.... Washanyooshwa vya kutosha

Ova
 
Back
Top Bottom