Recent content by mwendaulaya

  1. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

    Ha ha haaaa enzi za Sinta na Nature aisee kitambo sana hiyo ni miaka ya 2001 . TV zilikuwa ni zile za visogo afu Ukiwa na ungo (satellite dish) kubwa la kutengenezwa mtaani na lina wavu flani nakuambia mnaoneka nyie ni matajiri Sana. Alafu computer zilikuwa desktop za visogo Pentium...
  2. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    POLE SANA DADA LUCKME. KWANZA HUYO SIO MUMEO MAANA UHUSIANO WENU HAUJAWA HALALI. HUYO NI MTU MNAYEISHI NAYE TU ILA TARATIBU ZA KISHERIA NA KIDINI HAMJAZIFUATA KWA HIYO VUNJENI HUO UHUSIANO, FUATENI TARATIBU SAHIHI BAADA YA HAPO SASA NDIO UJE KULALAMIKA HUMU [emoji35][emoji35][emoji35] Sent...
  3. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Mhuuu! Ila wewe....... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    NAKUBALIANA NAWE KUWA HAYO MAMBO NI MABAYA NA WANAUME WENYE TABIA HIZO WAOMBE TOBA WABADILIKE WAMRUDIE MUNGU. LAKINI SIKUBALIANI NAWE KUWA WANAUME WOOOTE WA TANZANIA WAKO HIVYO, HAPO UMEKOSEA SANA. UJUE WAPO WATUMISHI WA MUNGU NA WENGINE WA SERIKALI TENA WA NGAZI ZA JUU NA NI WANAUME? JIFUNZE...
  6. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Unafurahia mahusiano yako?

    Mi nafurahia sana mahusiano yangu kwa sababu mke wangu AMEKUWA MTII NA MWELEWA. Hapa namaanisha Nokia sina anaelewa nikiwa macho basi tunafurahi pamoja. Kwa hiyo nimekuwa ni mwenye furaha sana niwe na hela au nisiwe nayo. Sent from my DP7CPRO using JamiiForums mobile app
  7. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Huyo atakuwa wa kabila fulani hivi bila kumpiga hakuelewi baba[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwendaulaya

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Duh....umetisha, hicho ni kiburi cha waziwazi na sio cha bahati mbaya. Msikomoane wapenzi bali kila mmoja ajitahidi kuwa sababu ya mwenzake kuwa na furaha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom