Recent content by Mwendapole2005

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

    Katika vitu ambavyo mama nampenda ni kuwa ana Imani sana na Mungu na pia ni muumini sana na dini yake. Kwa hapo Mungu azidi kumpigania Rais wetu azidi kumpa afya njema na busala iliyotukuka.Pili Rais wetu ana nia njema na nchi yetu, sema Kuna uharaka sana wa kibadirisha hizo Sheria. Lakini tumpe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wakiristo semeni ukweli kama Yesu ni Mungu imekuaje amekufa kwa kuangikwa msalabani? Alipokufa nani alikuwa Mungu? Nani aliyemfufu?

    Kwa sisi wakristo tunaamini Mungu ana nafsi tatu ambazo ni Mungu baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu hivyo basi Yesu alivyosulubishwa msalabani alikuwa Mungu mwana lakini nafsi mbili zilibaki ambazo ni Mungu baba na Roho mtakatifu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Huyo anataka kuuza viwanja. wenye D mbili tunaelewa
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninamzidi umri baba mkwe na mama mkwe. Je, hii ni sawa?

    Ushauri tu.Jitahidi kuficha hisia zako pindi umetembelewa na Mama mkwe maana kama mnaendana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

    Kwani nyani wa sasa wamefikisha miaka milioni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa hamasisheni wapiga kura wenu wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura.

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu Jacobs Mwambegele pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Kailima wamejitahidi sana kuhamasisha na kutoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa kahamia CCM katika kipindi kibaya

    Nathubutu kusema Msigwa ameshindwa kusoma nyakati, hatukatai kwamba CHADEMA hakuna mapungufu lakini sioni kama Matatizo anayoyasema ndio chanzo cha yeye kuhama. Watu wenye macho matatu wanajua ni uchu wa madaraka tu, kwa sababu shida ilianza baada ya kushindwa na Sugu kwenye Uchaguzi Kanda ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Hivyo viatu anvyo visema ni Laizon Viatu gani mkuu unavyo visema ni raizoni au.Kama unamaanisha utendaji wa kazi basi umesahau kumuolozesha Rais wetu Samia.Kwa sababu utendaji wake ni bora kuliko huyo Magufuli. Mama Samia kaichukua Nchi ikiwa katika kipindi kigumu mno, lakini amepambana mpaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ni mti unao nyauka kila kukicha

    Mkuu Mimi naona kumfananisha Dr Raisi mama yetu Samia na Magofuli unakosea.Sawa Magufuli alitenda yake mazuri lakini Mama naona is The best.Kwanza ni Mwanamke Jasiri sana sijawahi ona, Magufuli aliogopa Wapinzani mpaka kikarataza maandamano na mikutano ya Wapinzani, lakini Mama ameruhusu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Mzee hiyo ni kinga Mbona Juzi Juzi tu Makolo walifukia Mbuzi na Paka ili waifunge Yanga na wewe akashangilia ushindi huyo.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Marumo Gallants walishafungwa Ugenini 4-1 na USM Algers, 2-0 na Al Akhdar ila kwao wakashinda 4-1 na 2-0 na kuvuka

    Nadhani baada ya hiyo match ninavyokujua utakuja kumtukana MO hapa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

    Mimi naamini kabisa tutaenda kufa kiume
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Law School wamefaulu wanafunzi 23 kati ya 821 sawa na 2.8%

    Nadhani waliofaulu hao 23 wafungue kesi Mahakamani wahoji kwanini wenzao wamefeli then utetezi utakavyokuja ndio tutajua shida ipo wapi, na pia tutajua kama hao 23 wamefaulu kweli
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Au hata mfumo wa 8 - 1 - 1 utatufaa sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Yaliyopita Sindwele.Sasa tupo na Rais wetu mpendwa Dr Samia na kazi inaendelea.
Back
Top Bottom