Wakuu naomba mnisaidie kitu nilisafiri yapata week mbili nikaliacha gari langu aina ya IST ila baada ya kurudi nimeliwasha likawaka ila silensa ilikuwa juu sana.
Baadaye ikaanza kutoa halufu kwenye injini kama kuna kitu kinaungua nikawahi kuizima baada ya hapo ikawa haipigi stata tena yaani...
Samahani unayesoma uzi huu,
Kama umetumiwa mzigo nimetumiwa kutoka nje simu na laptop kutoka London ila sijui utaratibu wa kibongo upoje jinsi ya kuupokea.
Je unapigiwa simu au unaenda airport moja kwa moja mfano mzigo umeluja na British airways kenya afu baada ya hapo ukatumwa Tanzania...
Habari yako wewe unayesoma uzi huu.
Nina umri wa miaka 27 pia nimejaaliwa kupata mtoto mmoja tu wa kike na kwa sasa ana miaka 4 ila sijabahatika kupata mtoto mwingine nimejitahidi sana kufanya vipimo kiafya nipo vizuri maana nimefanya checkup zote, sperm analysis, semen na vingine ila...
Wakuu habari zane nimeleta uzi huu mnifumbue macho kwa hili nisije kuingia mkenge,
Nataka kununua gari maana nimeendesha pikipiki kwa muda mrefu sasa imetosha bwana naomba.
Ninatazamia kununua gari IST au Vitz mkononi ila changamoto inayokuja nakosa amani na madalali kwani wao wengi unakuta...
kwao walikubali kuwa kumuoa ila tulipo kuja kwenye suala la mahari ndo wakanizingua mahari 5mil mimi mwenyewe hata kodi ya elf 20 mtihani,basi tukaamua kuishi hivo hivo bila hata ndoa maana walidai bila hiyo pesa hamna ndoa sasa tuna mtoto mmoja ina na tayari ninimejenga nyumba hapa hapa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.