Msaada: Gari (IST) halipigi starter

mwendapole12

Member
Apr 2, 2022
21
26
Wakuu naomba mnisaidie kitu nilisafiri yapata week mbili nikaliacha gari langu aina ya IST ila baada ya kurudi nimeliwasha likawaka ila silensa ilikuwa juu sana.

Baadaye ikaanza kutoa halufu kwenye injini kama kuna kitu kinaungua nikawahi kuizima baada ya hapo ikawa haipigi stata tena yaani stata haiwaki inatoa sauti kama feni mbovu iliyo staki.

Vuuuuu haizunguki yaani hata kidogo afu pia ila moto unafika kwenye dash board vizuri tu sijui shida iko wapi.
 
sawa ila batterry ni mpya basi kabisa ila yawezekana battery yaweza kuwa na uwezo mdogo licha ya kuonesha ishara zote kwenye dash board.
 
sawa ila batterry ni mpya basi kabisa ila yawezekana battery yaweza kuwa na uwezo mdogo licha ya kuonesha ishara zote kwenye dash board.
Check engine haikuwaka? Hapo ilitokea short circuit baada ya wewe kuwasha, kutokana na nyaya zilizochubuka kugusana, au loose connectors iliyopelekea kuungua kwa motor winding

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom