Sijakuelewa vizuri lakini kama unaulizia gari aina ya TOYOTA CORONA PREMIO mimi ninayo nauza Tsh. Milioni Tano ni hali nzuri na inatembea. Wasiliana nami simu 0754 468 318 . Hapa Dar.
Huo ndio mwanzo wa kuporomoka kwa Mtatiro. Mkumbushe yaliowapata Msabaha na marehemu Tambwe Hiza. Hawa baada ya kuhama CUF na kuhamia CCM walipewa kazi ya kufanya propaganda dhidi ya CUF. Walipowachoka ofisi yao pale Lumumba ikafungwa. Tambwe akahamia CHADEMA . Baadae akafariki. Msabaha sijui...
Hebu tujikumbushe. Mara baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani. Professor Lipumba alikwenda iku
Hebu tujikumbushe. Mara baada ya Rais Magufuli kuingia ikulu, Professor Lipumba alikwenda ikulu kumtembelea. Lakini sijui alimuakilisha nani kwa sababu wakati huo alikwisha jiuzulu uwenyekiti wa...
If democracy is siccession, why don't they allow opposition to succeed them even if CCM is beaten in the general election as in the case of last general election in Zanzibar. Clinging to power by using state organs like Police force, state security and the army is no democracy. It is dectetorshiip.
Wazanzibari hawajalikoroga hata chembe. Walichofanya ni kumchagua kiongozi wanaemtaka awaongoze. Waliolikoroga na kuhujumu uchaguzi ni wale waliopeleka majeshi na vifaru katika mitaa ya Zanzibar na kumlazimisha mwenyekiti wa Zec afute uchaguzi bila ya kujali katiba wala sharia ya uchaguzi. Na...
Ndugu albulushiy umetoa somo zuri lenye maelezo ya kutosha kuhusu mahakama ya kadhi. Kwa bahati mbaya wale wasioitakia mema nchi hii wataendelea kupinga tu hata kama hawana hoja ya msingi. Na kwasababu ya chuki zao binafsi dhidi ya uislamu wataendele kuziba masikio yao.
Tusisahau kua baada ya September 11 Rais wa Marekani George Bush alianzisha tena vita vya msalaba (crusade) dhidi ya waislamu na dini yao. Na hata huyu Obama anaviendeleza vita hivyo kwa kuanzisha na kuwasaidia makundi mbalimbali yanayojiita ya kiislamu. Angalia yanayotokea Libya na Syria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.