Recent content by mwemanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania StarTV wasaliti agizo la Chama cha Wandishi wa Habari

    JUKWAA LA WAHARIRI L Inatumika vibaya LOWASSA Na wafuasi wa CHADEMA wanasema wanawatu wao katika uongozi huo, Angalia tukio la Kupigwa Waandishi wa Habari na wanaosemekana wafuasi wa Prof. LIPUMBA Jukwaa liliwaalika wandishi wanawake wakawa wanalia sio kwa kupigwa ila kwa kutokamatwa Lipumba na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

    Taarifa hii ina usahihi gani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Aibu kwa mdee na john mnyika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Nimeona taarifa ya katibu wa CHADEMA wilaya ya kinondoni.Bwana KILEWO ni ya uongo tena ni aibu kiongozi kudanganya hadharani. Kwa kumkalibisha mkuu wa mpya wa wilaya ndugu MAKONDA kwa kumwambia kuwa kinondoni ni ngome ya chadema hili sio kweli,ukweli nikwamba.kuanzia tarehe 14 desemba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Lowasa ndio kiboko wa UKAWA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mnyika haina faida kwa CHADEMA na UKAWA wapizani tunataka kura ya maoni

    Hata mnyika ni CCM
  7. M

    JamiiForums Tanzania CUF + CHADEMA +NCCR + NLD = UKAWA. Watake wa sitake lazima wata gombana tu.

    WANA JF. NINAJAMBO LEO KAMA MTAZAMO NA UTABILI KUHUSU UKAWA. kwa uzoefu wangu kwa siasa za tanzania ni vigumu sana, kuanzisha ushirika ukadumu sababu watanzania wengi ni watu wa tamaa na sio wa misimamo hivyo ukawa hauna agenda pia hauwezi kufika mbali. naona ni ujanja ujanja tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

    Mawazo mazuri sana kama mbowe ana akili atazingatia ushauli.ila shonza na mwampamba tuwaacha hukohuko ccm.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Ubungo yote au baadhi ya mitaa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    mtoa mada nakupa 100% safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mh. Mdee Ubungo, je Mnyika amechuja kisiasa?

    Pamoja kupata baadhi ya majibu kuwa mnyika haja chuja,sasa nimegundua ktk jf kumejaa wana harakati sio wana siasa. mtu kuuliza swali anahitaji jibu sio matusi wala kejeri.hata wabunge huwa wana uliza maswali sasa kosa langu mimi ni nini?.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mh. Mdee Ubungo, je Mnyika amechuja kisiasa?

    Wana jf.tokea juzi viongozi wa chadema ubungo na madiwani.walikuwa na pilika pilika za kuandaa mkutano na kumuomba mbunge wa kawe HALIMA MDEE.na jana mdee ali hutubia mkutano pale kimara mwisho.swali ni kwamba je? mbunge wa jimbo hilo mhe. JOHN MNYIKA amechuja kisiasa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Ina sikitisha sana
Back
Top Bottom