Wana jf.tokea juzi viongozi wa chadema ubungo na madiwani.walikuwa na pilika pilika za kuandaa mkutano na kumuomba mbunge wa kawe HALIMA MDEE.na jana mdee ali hutubia mkutano pale kimara mwisho.swali ni kwamba je? mbunge wa jimbo hilo mhe. JOHN MNYIKA amechuja kisiasa? That z called teamwork by tha way
Mnyika kamanda wa ukwel,hana longlongo anakubalika sana Ubungo hudhuria mkutano wake utaevaluate infulence yake Ubungo,The same same day CCM iliandaa mkutano,hawakupata watu zaid ya wao waliokusanyana kwa magar kutoka,mabibo,mbezi,manzese n.k,mkutano wa chadema ulijaza watu sana,na hata ulpofka mwisho saa 12 jion kisheria,watu walitaka mdee aendelee,na hii inatokea mikutano yote,ya chadem ikifanyika.