Recent content by mweatu

  1. mweatu

    Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

    Asanteni wadau kwa ushauri na kunipa moyo. Kwa wale wenzangu wote ambao bado hatujapata ajira kama mimi, tusikate tamaa tuendelee kupambana, ipo siku. Nimepokea pia mawazo ya plan B eg kupanda miti etc. Shukrani pia ziwafikie hao washkaji zangu hasa wale wa Dar, muendelee kuwa na moyo huo wa...
  2. mweatu

    Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

    Pale ambapo upo mkoani na unapambana kupata ajira, halafu unapata interviews za Dar mara kadhaa, na unafikia kwa washikaji zako huko Dar ambao kiasi fulani maisha wameyaweza. Ni wa umri wako, wengine hata classmates. Unakuta wana mijengo saafi, usafiri, unakaa pale comfortably unakula...
  3. mweatu

    Jinsi ya kutengeneza vifungashio vya karatasi

    Nipo hapa, sema unapatikana wapi tutafutane nikufundishe
  4. mweatu

    Je, hakuna teknolojia ya kupima njia za wajawazito bila kuingiza mikono kwenye nyeti zao?.

    Asante mkuu kwa ushauri Ni sawa, ila kumbuka kutoka kwa mtoto Kuna msaada wa nguvu ya ziada ya homoni za uzazi ndiyo maana kichwa huweza kupita. Sasa unapomuingizia mkono bila kuwa homoni zimesaidia ni kero Fulani.
  5. mweatu

    Je, hakuna teknolojia ya kupima njia za wajawazito bila kuingiza mikono kwenye nyeti zao?.

    Wivu lazima, ila siyo tu wivu, ila na kero pia. Maanake anaweza kukuambia amepimwa hata na watu kumi tofauti kwa siku moja. Duh!
  6. mweatu

    Je, hakuna teknolojia ya kupima njia za wajawazito bila kuingiza mikono kwenye nyeti zao?.

    Ndugu wataalamu wa afya na wanajamvi kwa ujumla, nianze kwa salaam. Kama tunavyojua kuwa mama mjamzito akiwa katika hatua za mwisho kukaribia kujifungua, wataalam wa afya huwa wanapima njia ya uzazi ili kujua imefikisha cm ngapi. Njia ambayo imekuwa ikitumika kwa mujibu wa wife...
  7. mweatu

    Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Hilo nafahamu mkuu, ila kuna baadhi ya taasisi ambazo sijawahi kuona matangazo ya kazi zao utumishi. Ndiyo maana najiuliza kuwa kazi kwenye hzo taasisi zinapatikana kwa namna gani?
  8. mweatu

    Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Mkuu nafikiria kuomba Mfano TPDC, TIRDO, Wakala wa vipimo-WMA, Baraza la uhifadhi wa mazingira- NEMC, Mamlaka za maji eg MOROWASA, DAWASA n.k
  9. mweatu

    Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  10. mweatu

    Nahitaji bati kumi ili niweze kuezeka chumba changu

    Tunaomba ABC za Dragon mkuu, kwa maana ya ubora wake, grade na bei
Back
Top Bottom