Ni kweli Mama Assumpter Nshunju kipindi chake chote cha ujana alikuwa Muhudumu wa Ndege za serikali,na huko ndiko alikokutana na Mumewe Mr. Mshama ambaye kwa sasa ni Senior VIP bodyguard,siku za karibuni alikuwa Mlinzi na msaidizi wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Mzee John Malecela. Mheshimiwa Mbunge...