Recent content by Mwatisi

  1. Mwatisi

    Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Mm Mmoja yupo makambako mpakani na wanging'ombe barabara ya kwenda mbeya huyo analikitambi sio kitambi tena.
  2. Mwatisi

    David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

    100% kweli ni mstarabu sana. Wanao mtafsiri vibaya hawakumsikiliza .Mtoa mada mwenyewe amepotosha baadhi ya maneno.Mi naona niwivu tuu. Tuache mawivu wajamani.Silinde ni hazina kubwa kwa taifa hili, yafaa tumtie moyo zaidi kuliko kumkatisha tamaa.
  3. Mwatisi

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Will be westland . If I'm wrong inform me.
  4. Mwatisi

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Show us such a school that has a size of university of dsm.
  5. Mwatisi

    GE2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Kujibu swali lako mpaka nijue atakao shirikiana kugombea nao kwenye uchaguzi mkuu.
  6. Mwatisi

    Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

    Kwa kweli nilidhani Ethiopia ni nchi ilostarabika lakini kwa hatua inazochukua, ni hatua za kizamani sana, ulimwengu wa sasa ni wa wastaarabu, wastarabu wanaamini katika diplomasia kusuluhisha migogoro,jeshi ni hatua ambayo hufuata mwishoni baada ya kila option kushindikana ,utadhani ni kipindi...
  7. Mwatisi

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Jiji lapendeza sifa ziende kwako Nairobi
  8. Mwatisi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Eee man yu mmeshikwa pabaya ,yale majigambo ya kuwa ninyi ni wababe wa big match yanaendelea?
  9. Mwatisi

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    I can say;another poor performance of city over wolves; since dismissal of one player can't be a reason for being overwhelmed in all fields.
Back
Top Bottom