Recent content by mwasyembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana wafuasi 75,000 tu huko Twitter?

    Huyo mpoki ana zaidi ya followers milioni moja na kapata 0 kule kigamboni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Esther Luxury Coach Mnachokifanya sio kizuri

    Yap, hakuna bank isiyo na choo
  3. M

    JamiiForums Tanzania George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

    1 kor 6:9-11.ni maneno ya MUNGU wafilaji hawaendi mbinguni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Ukonga, Magereza

    Nipe hiyo 600.nanunua kiwanja cha 200 na 300 au 350 najenga ikulu ndogo .nalipa deni la Mahal bajaji 3 bodaboda 3 na akiba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

    Aiseee,kipindi tupo kinondoni Muslim by 2002 jamaa yetu mmoja alimleta demu wake ndio awe mzazi,moja alipigwa mboko sita Na demu wake Pili kuna mwalimu alifika bei mpaka Leo anaishi Na yule demu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja

    Kamanda nicheki hewani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja

    Msumi ipo njia ya makabe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja

    Hata mvuti ndugu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja

    Natafuta kiwanja budget yangu 5 mil ndani ya dar-es-salaam 0623 857 816
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

    Kwani mtu aliyeoa wake wengi na kuacha ndiyo shujaa Wa ndoa kuliko mwenye mke mmoja Kwa miaka mingi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Matajiri wa Mikoa ya Kaskazini na Kusini mwa Tanzania

    Jamani tutofautishe watu wanaookota pesa chini Na wanaoumiza vichwa kubadilisha fedha kuwa bidhaa halafu pesa.huko kaskazini asilimia 70 ya matajir ni wamiliki Wa mashimo.huku kwetu ni wapasua kichwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tofauti ya mshahara kati ya mtu mwenye postgraduate na shahada tu au wote wanalipwa sawa?

    Mshahara ni siri kati ya mwajili Na mwajiliwa.wote mnaweza kuwa degree ila mshahara tofauti ndani ya taasisi moja
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo hamna budi kumshukuru Yuda Eskariot, bila yeye Ukiristo usingekuwepo.

    Kidini simlaum,alitimiza agano.maandiko yapo wazi kuwa mmoja kati yenu atanisaliti.yuda alitimiza
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

    Mechi za uefa kati ya Chelsea na barca,anaeanza nyumbani lazima atoke
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wakina mama na wakina baba Mashuhuri waliotikisa Mbeya kibiashara na kimaendeleo

    Jombi dume LA madume,nilikuta Ndola Zambia mwaka 2000
Back
Top Bottom