Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,711
45,079
Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona kuibuka na ushindi kama Chelsea watakuwa wametimia. Kwa mbinu za Conte zinatosha kabisa kuwapa nafasi Chelsea kufanya vyema dhidi ya Barca.

Pamoja na Chelsea kuwa na fomu mbaya kwa siku za karibuni, Barcelona bado hana uwezo wa kupata ushindi, njia pekee ni Chelsea apate red card na ndipo Barca ataibuka na ushindi.

Povu ruksa...
 
Kwa uchambuzi huo wa soka ingekuwa ni shule basi ungekuwa darasa la 3c.
 
Endeleeni kukariri hivo hivo ooh Barcelona hajawah kumfunga Chelsea, kama hajawah Leo ndo anawah Leo, naona Leo sredi zimekuwa nyingi si tusubiri dakk 90 baada ya saa 22:45 ndo tujue
Leo chelsea atatembelea makalio stamford bridge, Messi lazima awakimbize hawa wahuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom