...compare listi hii ya mahusiano ya kiume 50 cent na kanye west wanakulana,lili wine na bilrd man wana kulana,pididy na my whether wanakulana,fat Joe na pididy.wana set, Smith na mwanae wananyonyana mpaka mate hadharani. Linganisha miili yao utakuwa umepata jibu
..... Nikinyume wazuri huwa wabaya kitabia na wabaya huwa wazuri kitabia hakuna jambazi au tapeli au shetani au jinianaye weza kuja mbele yako akiwa na sura mbaya never lazima atakuja na sura nzuri.hatabiblia inasema wamevaa ngozi za kondoo Ila ndani mbwa mwitu.kwahiyo daima adui hupitia sura...
....kinacho shangaza kwenye vyombo vyetu vya usalama nikumkamata MTU wakiwa hawajatengeneza ushahidi au hawana ushahidi na ukifika polisi utapigwa mpaka ukubali hats kama hau husiki utataja hats watu ambao hawakuhusika ili ukiepuke kipigo skuhizi kuna usemi unasema polisi hatu kataagi tuna kataa...
Wakuu msaada tafadhali kuna matatizo tunayaona yakawaida lakini nimageni kwenye jamii yetu. hata baadhi ya wazee ukiwauliza wanasema hayakuwepo kabla.
matatizo yenyewe ni Haya yafuatayo;
1.KANSAY A SHINGO YA UZAZIKWA AKINA MAMA..ukiwauliza wazee wakale wanasema hakukuwa na magonjwa kama haya...
.... Pole sana bila shaka unamoyo wa upendo kwandugu zako huko kwenu kskazini mnatabia za kukaa na wamama Nawababa nyumbani mnawaita watoto bado sisihuku kwetu kusini ukisha barehe unaonyeshwa kaeneona myanzi ilipo hapo umeazimwa ukimaliza shule hakuna was kukupa mtaji utajiongeza mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.