Nini chanzo cha haya matatizo?

Mwasyambi

Member
Oct 1, 2020
24
45
Wakuu msaada tafadhali kuna matatizo tunayaona yakawaida lakini nimageni kwenye jamii yetu. hata baadhi ya wazee ukiwauliza wanasema hayakuwepo kabla.

matatizo yenyewe ni Haya yafuatayo;

1.KANSAY A SHINGO YA UZAZIKWA AKINA MAMA..ukiwauliza wazee wakale wanasema hakukuwa na magonjwa kama haya enzi zao.

2. SARATANI YA MAZIWA KWA AKINA MAMA...hili nalo wanasema halikuwepo enzi hizo..

3. VIBAMIA...huu umekuwa wimbo wa mjini kinadada wanalalamika.

Ndoa zinavunjika, biashara ya vumbi LA Kongo inakuwa kwa speed.

Sasa wakuu nilikuwa naomba msaada kujua nini chanzo cha haya matatizo.ninaamini kwamba majibu yenu yanaweza kuwa msaada kwa waliofikwa na wale ambao wapi kwenye hatali yakufikwa na matatizo haya.

Pointi yangu yamsingi nikujua vyanzo vya magonjwa haya Kansa ya shingo ya uzazi kwa akina mama.salatani ya matiti.na chanzo cha magonjwa ya vibamia kwa akina baba.asanteni na karibuni wakuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom