Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

a
Ndo hapo pana tatizo.Kama Mungu yupo kwanini asijitokeze ili tumwabudu pasipo na mashaka?
sasa hujajichunguza kwa nini umepewa kielelezo cha imani ambayo inakufanya uamini pasipo kuona ,mbona unaamini kama kuna bacteria au virus je unaweza kuwaona hivi hivi na itokezee kua massada wa microscope haujavumbuliwa
 
Mtu alimuumba Mungu katika fikra zake ili awe kielelezo cha mambo yote yaliyokosa majibu kwa upeo wa watu.
Mungu alipewa sifa zote za kiutu kama vile huruma, chuki, upendo, ukatili, hasira, wivu, majuto, ushindani n.k.
Kutokana na sifa ya ushindani kuwa ni kipimo cha nguvu za Mungu, mtu alimuumbia Mungu mshindani, naye ameitwa Shetani.Mtu akajijengea imani kuwa matendo yote anayoyatenda anongozwa na Mungu iwapo ni mema au na Shetani iwapo ni mabaya.

Mungu na Shetani sii vitu halisi bali ni 'Idea' za watu.Mungu na Shetani hawajawahi kuonekana, kusikika, kuhisika, ama kushikika popote.
Idea ya uwepo wa Mungu imekuwa ikirithishwa kwa watu [Theists] wakiwa kwenye umri mdogo zaidi na kwa vitisho vya ya kwamba kama wasipomwamini Mungu basi wataishi maisha ya tabu pamoja na kuingia kwenye moto wa milele watakapokufa[Hakuna uthibitisho hata chembe wa kuwepo kwa hivyo vitisho].

Kutokana na watu mbalimbali kujitengenezea picha tofauti kwenye fikra zao juu ya Mungu, yameibuka makundi mbalimbali ya watu wenye mitazamo tofauti juu ya sifa za Mungu, sheria zake pamoja na mapenzi yake kwa watu. Makundi hayo ni dini na madhehebu yasiyo na idadi yanayodai kumwamini Mungu mmoja lakini jambo la kushangaza huyo Mungu ana waongoza watu kwa utofauti mkubwa sana.Hizo dini na madhehebu yake zimekuwa zikihubiri sifa chanya za Mungu na hasi za Shetani ambazo haziendani na uhalisia.

Idea ya uwepo wa Mungu na Shetani imekuwa ikiaminishwa kwa watu badala ya kueleweshwa hivyo kukosekana kwa ushahidi juu ya kuwepo kwa Mungu pamoja na mpinzani wake Shetani.
Pindi mahojiano juu ya uwepo wa Mungu yanapoibuka, Mungu hutetewa na watu badala ya kujitetea mwenyewe.

Mungu na Shetani sii halisi[kweli] bali ni fikra za watu ambazo hazina uhalisia wowote.
Nje ya fikra za watu hakuna Mungu wala Shetani..........Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake.
..... He kafara wanamtolea nani mkuu??
 
Mleta hoja umeleta vizuri maana umeweka na ushahidi wa shaka yako juu ya uwepo wa Mungu. Wajibuji hatupaswi kukutisha bali tukujibu kwa ushahidi ulio wazi. Niseme tu kwa ufupi, In vigumu kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini nivigumu zaidi kuthibitisha kutokuwepo kwake, tunachoweza kuonesha uwepo wa Mungu ni kutaja maumbile, kanuni na mienendo iliyopo ambayo sio kazi ya mikono ya Mtu.
umecomment kwa hekima sana mkuu
 
Nisipo mkuta poa, nikimkuta nitamuuliza kwanini aliishi mbali na watu.
Kuamini kwa mashaka ni kupoteza muda.

HUU NDO UKWELI ATAKAYEBISHA NA ABISHE!BINADAMU NDIYE ALIYEMUUMBA MUNGU,Huu ndo ukweli
 
Binadamu kiasili tuna Ile craving ya kuamini Maisha yetu Yana"purpose" na hatutamani kuamini tukifa ndio mwisho.

Kwani ikiwa hivyo kuishi kutakua hakuna maana yeyote.

Ndio maana Ni lazima tuamini Mungu yupo ili pia tuamini kwenye"reward" ya kutenda yaliyo men's duniani.

Na kwa jinsi hiyo Maisha yana balance( psychologically kwa ku timiza"quenching" kiu ya purpose ya Maisha na eternity.

Hivyo Ni vema kuamini tu Mungu yupo ili uwe timamu
 
bora useme yupo hata usipomkuta hujapoteza kitu kuliko kusema hayupo halafu ukamkuta sasa.....
Kwa hiyo wewe unaamini kuna mungu sababu unaogopa labda utamkuta?

Usipomkuta koda ni lake kutokukuonyesha uwepo wake.
 
akuna kutubu kwa sababu kutubu pia kumezushwa tu na hao, hao waliozusha vitu ambavyo havipo, labda nisisitize tu HAKUNA MUNGU, SHETANI, IBILISI, WALA MOTO UWE WA GESI, KIBIRITI, KUNI PETROLI WALA WA KUCHEMSHIA CHAI.
duh!
 
Ndo maana nikasema Mtu alimuumba Mungu ili awe kielelezo cha mambo yaliyokosa majibu kwa upeo wa kiutu.
Mtu amejitengenezea nguzo katika fikra zake ili iwe sehemu ya kujipa matumaini pindi apatapo magumu.
Facts, mtu anajitengenezea support mechanism
 
Kwanini Mungu ajitambulishe kwa watu wake indirect kwa kutumia mitume?

Kwanini mitume na manabii wote ni watu wa middle east?

Je kama hao watu waliabudu mizimu yao sisi tutajuaje?
Kinachonishangaza huwa hajawahi tokea mbele za watu.. Huwa anatokea mafichoni tuu
 
was made in his image(okay?)
I even work in mysterious ways,like I'd rather be potent,I be a criminal
I even burn the bush like Moses.
Coz everybody knows Jesus hanged with the criminals and the Prostitutes.
Everybody knows Jesus Turned pure water into wine.
So I sit and sip gin while reading genesis about Apple eating dumbasses.

PS:
I had my heart broken by a Chagga,I went and found me a Sukuma with a bigger butt and only God can judge me(that's only if he still gives a f*ck)
 
Mleta hoja umeleta vizuri maana umeweka na ushahidi wa shaka yako juu ya uwepo wa Mungu. Wajibuji hatupaswi kukutisha bali tukujibu kwa ushahidi ulio wazi. Niseme tu kwa ufupi, In vigumu kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini nivigumu zaidi kuthibitisha kutokuwepo kwake, tunachoweza kuonesha uwepo wa Mungu ni kutaja maumbile, kanuni na mienendo iliyopo ambayo sio kazi ya mikono ya Mtu.
@CHARMILTON
 
Back
Top Bottom