Huku kazi tunaifanya siku tatu kwa wiki kisa maandamano ya kipuzi kupora Mali ya watu ili viongozi kadhaa wapati kuingia serikalini. Tundu Lissu akileta upuzi kama huo awekwe ndani mara moja sababu ikiwa anatumika na wazungu na vibaraka wao kuisambaratisha Nchi za Afrika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.