Lazma kuna kitu umemkosea mkeo ata kama hajakwambia jaribu kumueka karibu akwambie kwanni ananua sizani kama wanaweza kununa bila tatizo lolote, kufikiria tu kumtia mkweo ni laana na inaonekana huna shida na ndoa yako kama unaipenda ndoa yako kwel na unampenda mkeo acha kufikiria huo upuuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.